Wazo la leo wakuu!!!

Wazo la leo wakuu!!!

1. UMEME HAUNA KIUNo LAKINI UNAKATIKA.
2. UJINGA NI KUMWANDIKIA M2 ''I LOVE U'' NA KUSUBIRIA JIBU,WAKATI SIYO SWALI.
3. BUSHA HUWEZI KULIVALIA MODO.
4. LINALOJAMBA NI TUMBO,MK*ND* KIPANZA SAUTI TU.
5. HATA UWE BIGWA W FASHENI VP, HUWEZI KUNYOA KIDUKU KWAPANI.
 
1.hata ufeli vipi huwezi kuwa na panton.
2.hata kama mama wa taifa anabwana lakini hatuwezi kumwita baba mdogo wa taifa
3.kila kenge hakosi madoa
4.hata uwe na majuto kiasi mani huwezikuwa comedian
 
ndege ana makinda lakini hawez kuwa spika wa bunge!
 
Huwezi kuwa mpole kama sindano yakushonea nguo. Uzi unapitishwa nyuma kiulaini inatulia tu!!
 
ata you tube ni mtandao lakini huwezi kuweka kwenye tairi yako ya gari
 
wazo la leo, wazo la leo? watu tumeona tegeta, tumeona mwenge! itakuwa wazo (kwa wanaoishi dsm)
 
Hata chakula kiwe kitamu vipi hauwezi kukila tena ukikinya.. :angry: :mvutaji:
 
Hata uwe mvivu kivipI huweZi kuomba mkono wa mwenzako kukuna ---- lako
 
Ni kweli,kwi kwi kwi kwi!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hata ugali uwe wa moto vp hauwezi kuwashia sigara! hakuna airport ya kuku japo naee ni ndege! fanya ufanyavyo juice haipashwi moto!!!
 
hata wanafunzi wawe wamefeli vipi Necta, kama umepata ziro utaendelea kuzaraulika tu kitaa! :A S 20::A S 20:
 
Back
Top Bottom