Wazo la mradi "Digital marketing agency", initial capital 150m

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Habari wakuu.

Wazo la mradi wa biashara ya matangazo.

Wazo linahusiana na kufungua kampuni itakayokuwa inatoa huduma ya kufanya matangazo ya kibiashara katika mfumo wa kidigitali (digital Marketing agency),katika mfumo na mtindo ambao Tanzania haujafanyika bado,kwa nchi nyingine tayari wanafanya (reference country is India).

Kwa mazingira yalipo Tanzania kwa sasa idea hii Ni wakati wake.

Wazo linahitaji initial capital ya 150,000,000/-,

kiasi hiki kinahusisha

1.Usajili wa kampuni.

2.Gharama za Vikao vya uuzaji wa hisa(maximum vikao viwili kama,itakua ni lazima kuuza hisa).

3.Gharama za Vikao vya wadau muhimu wa mradi ambao Ni sehemu katika utekelezaji wa mradi,katika majiji,tukianza na Dar es salaam.

2.Ununuaji wa mitambo (saver na ving'amuzi vyake,pamoja na backup system).

3.Office rent for six months (idea probation period).
4.Workers sararies for six months
5.Office furniture
6. System installation cost

MUDA WA MATAZAMIO YA MRADI

*Muda wa kutazamia ufanisi wa wazo Ni miezi sita.

BIDHAA

*Bidhaa ya biashara yetu Ni huduma (service).

WATEJA

Wafanyabiashara wadogo na wakubwa wanaotaka kujitangaza.

USHINDANI WA MFUMO.
Hakuna washindani wa mfumo huu kwa Sasa,ila wanaweza kuibuka baada ya mfumo kuanzishwa.

SEHEMU YA MRADI YENYE UWEKEZAJI MKUBWA

*Gharama kubwa ya uwekezaji katika wazo inaenda katika ununuaji na ujenzi wa mitambo.

USIMAMIAJI WA WAZO.

Wazo litasimamiwa na mtoa wazo,katika kufikia lengo,lakini pia mtoa wazo ana proffessional inayoendana na mradi hasa katika usimamizi na uendeshaji mitambo hiyo,licha ya utoaji wazo lakini pia Ni mtendajii,ikiwemo ubunifu katika utendaji,uendeshaji wa mifumo na ujenzi.

UUZAJI WA WAZO

Endapo wazo litatoa matokeo chanya,thamani ya wazo itabakia ndani ya kampuni,mtoa wazo atabaki Kama mwekezaji mweza kwa asilimia 30% ya mtaji ulio wekezwa bila kikomo cha muda.

UWASILISHAJI WA WAZO

Kwa wadau ambao watakua interested Nisinge penda kutuma mukhtasari wa wazo (idea) kwa njia hii ya PM au Email,ningependa tufanye appointment ya kikao Cha uwasilishaji wa wazo( idea presentation).

Location ni Dar es Salaam

Call 0682210453/whatsup

UPDATES...

INCOME GENERATION FROM THIS PROJECT(targeting minimum audience)

The main source of our income generation is an advertisements from our clients, in order to advertise we need active audience in promising number.

Our system by default will assure us with 100 to 300 people with whom will be reached by an advert per day for single decoder installed.

This means if 100 of devices installed we will have 10,000 to 30,000 number of
people who will reached by an advert per day (active audience).

Per month,assurance of an active audience will be 10,000 x 30 = 300,000 (minimum) to 900,000 (maximum).

Advertisement price per day per *single advert may be set to Tsh 3/- per single person within an audience.

In this case our Clients will pay Tsh per person within an audience,in this case income will be as follows.

MINIMUM ICOME GENERATION WITH MINIMUM AUDIENCE PER MONTH

Single advert will be pricing Tsh 900,000/- per month,equal to Tsh 30,000/- per day

This means in order for the advert to be transmited with our system the owner of an advert (company or an
individual) must pay 900,000/- per month, for his advert to reach default of 300,000 to 900,000/- active people per month.

MINIMUM INCOME GENERATION IN MINIMUM AUDIENCE

*Decoder Installed = 100
*Active audience = 300,000 people (per month).
*Minimum target adverts are 50 (per month)
*Price for advert Tsh 3/-

Therefore

3tsh x 300,000 people = Tsh 900,000/-

Minimum number of adverts per month is 50 x 900,000/-

Tsh =45,000,000/- of income.

NOTE: This calculated income may decline for 50% unexpectedly due to various factors especially in early stage of project

NOTE: This calculated income may decline unexpectedly due to various factors especially in early stage of project.

MAXIMUM INCOME GENERATION IN MINIMUM AUDIENCE

*Decoder Installed = 100
*Active audience = 300,000 people (per month).
*Minimum target adverts are 100 (per month)
*Price for advert Tsh 3/-

Therefore

3tsh x 300,000 people = Tsh 900,000/- per month.

Maximum number of adverts per month is 100 x 900,000/-

Tsh =90,000,000/- of income.

NOTE: This calculated income may decline for 50% unexpectedly due to various factors especially in early stage of project.

Stabilization will depend upon the management and marketing situation,with a time.

TOTAL RUNNING COST FOR SIX MONTH (minimum).

*Total running cost for 6 months for a Company is

Tsh 35,800,000/- ( USD 15,000/-)

*For one month is approximated to Tsh 6,000,000/- (USD 2500).

*Both investment cost and running cost comprise of Tsh

150,000,000/-

approximately to Tsh 150,000,000/- , or USD 60,000/-

NOTE: Running cost projected within 6 months.

NOTE: This calculated cost may increase for 30% unexpectedly due to various factors especially in early stage of project.

Stabilization will depend upon the management and marketing situation,with a time.

1. PROJECT CAPITAL INVESTMENT AND MANAGMENT.

(i) Only one investor can invest in this project, if the capital of the main investor is not enough to start-up or run this project, more capital for investment of this project
may be generated from selling shares for stakeholder with whom interested with
thes project.

(i) There must be main investor who hold more than 50% of a company shares, this is
the owner of the company.

(ii) The main investor will register a company with their names, and other investor
remain as shareholders of a company.

(iii) Each shareholders will earn profit according to their percentage of investment, if project has one investor, with whom invested capital in project for 100%,will earn 100% of Net profit generated.

2. SHARES DISTRIBUTION AND PROFT ANALYSIS.

(i) Project capital = Tsh 150,000,000/-

(ii) Main investor shares must not be less than 50% = Tsh 75,000,000/-

(iii) Only 10 shares are for sell, this means each share will cost Tsh 7,500,000/-
(iv) For 7,500,000 = 5% of total capital, therefore 5% of Net profit will be distributed for
each shareholder.

3. MANAGEMENT
(I) Chief executive Director (C.E.O),this is the main investor with more than
50% of shares within the company.

(II) Managing Director (M.D),Project Manager

(III) Shareholders
(IV) Stakeholder
(V) Staffs

NOTE: Initiation of this project can start slow, with the availability of capital,

UPDATES

PDF file with general idea review included

Download👇👇👇👇
 
Attachments

Habari wakuu.

Wazo la mradi wa biashara ya matangazo.

Wazo linahusiana na kufungua kampuni itakayokuwa inatoa huduma ya kufanya matangazo ya kibiashara katika mfumo wa kidigitali (digital Marketing agency),katika mfumo na mtindo ambao Tanzania haujafanyika bado,kwa nchi nyingine tayari wanafanya (reference country is India).

Kwa mazingira yalipo Tanzania kwa sasa idea hii Ni wakati wake.

Wazo linahitaji initial capital ya 150,000,000/-,

kiasi hiki kinahusisha

1.Usajili wa kampuni.

2.Gharama za Vikao vya uuzaji wa hisa(maximum vikao viwili kama,itakua ni lazima kuuza hisa).

3.Gharama za Vikao vya wadau muhimu wa mradi ambao Ni sehemu katika utekelezaji wa mradi,katika majiji,tukianza na Dar es salaam.

2.Ununuaji wa mitambo (saver na ving'amuzi vyake,pamoja na backup system).

3.Office rent for six months (idea probation period).
4.Workers sararies for six months
5.Office furniture
6. System installation cost

MUDA WA MATAZAMIO YA MRADI

*Muda wa kutazamia ufanisi wa wazo Ni miezi sita.

BIDHAA

*Bidhaa ya biashara yetu Ni huduma (service).

WATEJA

Wafanyabiashara wadogo na wakubwa wanaotaka kujitangaza.

USHINDANI WA MFUMO.
Hakuna washindani wa mfumo huu kwa Sasa,ila wanaweza kuibuka baada ya mfumo kuanzishwa.

SEHEMU YA MRADI YENYE UWEKEZAJI MKUBWA

*Gharama kubwa ya uwekezaji katika wazo inaenda katika ununuaji na ujenzi wa mitambo.

USIMAMIAJI WA WAZO.

Wazo litasimamiwa na mtoa wazo,katika kufikia lengo,lakini pia mtoa wazo ana proffessional inayoendana na mradi hasa katika usimamizi na uendeshaji mitambo hiyo,licha ya utoaji wazo lakini pia Ni mtendajii,ikiwemo ubunifu katika utendaji,uendeshaji wa mifumo na ujenzi.

UUZAJI WA WAZO

Endapo wazo litatoa matokeo chanya,thamani ya wazo itabakia ndani ya kampuni,mtoa wazo atabaki Kama mwekezaji mweza kwa asilimia 30% ya mtaji ulio wekezwa bila kikomo cha muda.

UWASILISHAJI WA WAZO

Kwa wadau ambao watakua interested Nisinge penda kutuma mukhtasari wa wazo (idea) kwa njia hii ya PM au Email,ningependa tufanye apportionment ya kikao Cha uwasilishaji wa wazo( idea presentation).

Location ni Dar es Salaam

Call 0682210453/whatsup
Sijaelewa hayo matangazo munayatangazia wapi na mitambo ya nini
 
Labda kwa kuwasaidia potential investors wako ungesema, uzoefu wako kwenye biashara upoje. Maana kwa mtu ambaye hajawahi kuendesha biashara hata ya milioni maisha yake yote halafu anataka watu wawekeze milioni 150 kwake huo ni ubunuasi.
😀😀, haya boss JF pazuri Sana isee...
 
Hakuna investors mwenye akili atawekeze resources zake katika digital marketing.

Sina cha kuongeAnte kwa judment yako,kutokana na title ya idea.

Hakuna investors mwenye akili atawekeze resources zake katika digital marketing.

Sina cha kuongeza.
Japo jibu hili nalokupa halina uhusiano na idea husika ila kwa kukusaidia hata Instagram na Facebook Ni "digital marketing" ambazo zipo katika category ya visual digital marketing.

Basi wamiliki wa mitandao hii na wanahisa wao nao tuseme Ni wawekezaji wasio na akili?

Digital marketing Ni general term,na bado idea yangu hujaijua Ni ipi,so don't rush into negations
 
vizuri
 
Digital marketing agency kwa uelewa mdogo nilionao wengi wanafanya placement ya matangazo kwenye digital platforms kama google/youtube, instagram, blogs n.k.

Baadhi huwa wanaaandaa concept, ads kwa maana ya video, audio au popups lakini wengi huwa wanaoutsource uandaaji wao wanakuwa wanafanya placement tu. Sasa sijajua ww idea yako yenye uhitaji wa mitambo ikoje ? Au unaongelea hizi roadside video billboards kama za A1, JCDecaux?

Yote kwa yote digital ads ni $bilion industry lakini imeshikiliwa na giants kina google, facebook, instagram, twitter etc.
 
Uko vizuri Sana kiuelewa boss,I like it...

Swala la hii inayotumika mitambo ipoje...siwezi ielezea hapa boss....but umeelezea vizuri kuhusu "digital marketing"
 
Hakuna investors mwenye akili atawekeze resources zake katika digital marketing.

Sina cha kuongeza.
Katika kitu sipendi kwenye haya maisha ni kumwambia mtu jambo analotaka kufanya au ambalo ameanza kufanya kuwa halina maana.

Binadamu tumepewa vision tofuti sana. Mwenzako anaweza pewa maono ya kufanya kitu chenye thamani ya mamilioni ila kwasababu haupo katika vision yake utahisi anafanya pumba sana.

Moja ya kitu kilinibadilisha na kunipa upeo huu wa kuwaamini watu na kuwapa chance ya kuonyesha uwezo wao ni kipindi fulani hivi miaka nipo sekondari kuna ndugu yangu binadamu, binti ambaye alikuwa ametoka kwao iringa kaja mjini kuishi na familia yetu.Nakumbuka alikuwa ndio amemaliza darasa la saba so akaja kukaa home.

Yule binti alikuwa shapu sana na mchapakazi ingawa ndio hivyo hakuwa na uwezo wa ubunifu wa biashara au idea ya nini afanye. Mimi on the other hand kwa wakati ule nilikuwa nina vi idea kidogo. Siku moja nilitengeza juice (mimi nipo vizuri sana katika recipes za vinywaji organic especially matunda) nilitengeza juice, na avocado milk shake yenye vionjo vya vanilla na food colour. Yule binti alipoinywa ile kitu aliipenda sana akasema hii ataweza kuiuza na tukapata faida. Mimi kimoyo moyo na hata kwa kauli sikuungana nae nilimkatalia.

Nikamwambia kwa gharama ya kutengeneza na tukitaka kuuza watu hawatanunua watanzania hawapendi vitu vya kizungu labda wale wakishua wanaoishi masaki kule ila huku uswahilini hawatanunua maana hata sista wangu alishataka kuuza ice cream ila alifeli (sababu ilikuwa uhifadhi wa ice-cream container kuna utaratibu wake na friji za aina yake)

Basi alikuwa ananililia kila siku tutengeneze ajaribu kuuza. Mwishowe nikakubali. So nikatengeneza aina tatu ya products. Akaanza kutembeza (nachomsifu yule binti ni mpambanaji na vile hapa mjini sio mzaliwa so alikuwa anatembea bila noma. So huwezi amini hadi jioni zile dumu tatu zimekata na anasumbuliwa balaa....

Aisee ikabidi nistaajabu..... Anyways, nikaongeza mzigo ikawa natengeneza ndoo ndogo kwa kila product. Yaani ikawa zile ndoo ndogo hazikai zinakata hata mchana haujaisha. Kuna watu wakawa wanaweka order ya ndoo nzima anataka so hadi wale wengine wanakosa. Biashara ili boom, na mapato yalianza kuonekana kwa kifupi nilipata pesa ya kufanya mambo mengi kwa wakati ule na yule dada alianza kupata pesa ya kutuma kwa bi mkubwa wake, tukafungua sehemu ya bites and drinks na mambo yakaanza kusimama na kushika kasi hadi leo naongea ile kitu ni moja ya investment kubwa sana nilifanya na ilisaidia hata kunisomesha (sijasoma kwa mkopo wa serikali chuoni) imagine ningemdharau yule dada na kumkatalia kuwa hicho kitu hakitauzika (kuwa closed minded).

Nikaanza taratibu kuelewa kuwa muda mwingine sio vizuri kumkataa mtu na wazo lake na haujui yeye anaona nini ambacho wewe haukioni. Sasa huyu bwana mnaweza mkataa hapa ila kesho akikomaa hii baishara ikasimama mtarudi katika huu uzi na kuanza kusifia, kupongeza, na kujilaumu why hamkuona potential ndani ya maoni yake.....

Usipoelewa jambo haimaanishi huyo anaekwambia anaongea upuuzi au anaongea kitu kisicho na tija pengine unatakiwa ujifunze kwake na ujue jambo jipya.

Akina Newton walikuwa wanapondwa sana aidea zao ila leo tunawasoma darasani na ili mtu uonekane una akili ni lazima uclamishe yale mawazo yao na kuyajibia mtihani kisha unaitwa smart (so stupid).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said!
 
Umeongea vizuri sana mkuu.
 
Japokua sio mchangiaji wa capital lakini inabidi inabidi ukonside dhana ya shared economic model kwa mfano server sio lazima ziwe za kwako utakodi tu space kwenye server ya MTU mwingine. This will make a fraction of cost compared with buying.
 
Wazo zuri mkuu,Kama tutapata kampuni yenye saver nzuri za kawaida (sio cloud) itakua POA na ndo hivi vitu ambavyo kwenye Vikao vingejadiliwa.

Japo pia itabidi tuangalie speed ya communication Kati ya saver ambazo (hazitakua zetu maana hiyo zitakua mbali)na oparateors wetu pamoja na ving'amuzi, sababu kuingiza na ku-fetch data kwa saver ambazo zipo mbali kwa kutumia internet communication,husababisha seconds of delay,ambayo Kama haita athiri utendaji kazi itakua poa.
 
Akili yako bado haijakaa kidigital sasa kwa nini ukimbilie kununua server wakati ndio unaanza biashara

Hiyo million 150 haitoshi kabisa kuanzishia biashara ya digital ads kwani mtahitaji kulipia matannazo ya kuwatangaza kampuni yenu,bado wataalamu nk
 
Boss check title,inasema "initial capital"
hata hivyo andiko la mradi sio Sheria,kana kwamba haliwezi badilika.

Na usiseme saver Ni ndogo,sababu hujajua Ni Aina gani ya data zinazo kuwa saved, either video,audio or text!

Na kuhusu sisi kujitangaza,sis hatujitangazi public,tunafanya invitations ya customers in in official way,kupitia marketing officers wetu.
 
Back
Top Bottom