Wazo la mradi "Digital marketing agency", initial capital 150m

Wazo la mradi "Digital marketing agency", initial capital 150m

Update...

PDF file with general idea review included
 
Dunda inaendelea sema Dunda lazima pilot iwe ni USA since kuna maswala ya Artist and copywrites..

Ila tunaendelea

Sanjari na hilo zipo projects zingine tunaendelea kuzifanyia research

Kwa soko la Africa Africa ikiwemo

ON DEMAND PLATFORMS

Tuendelee na mapambano Mkuu tutatoka tu

I believe
Whats about DUNDA
 
Unamlinganishaje binti mpambanaji kama huyo na huyu jamaa anayetaka kupewa tu 150 million kwa ndoto yake ya mchana?

****Digital marketing inahusisha fb, insta nk. Huko hata amefanikiwa kupata followers wa kutosha ndio afikirie kuna faala wa kumpa 150m?
******

Aanze na kitu kisichohitaji hela nyingi kama social media marketing, na kikifanikiwa watu watampa tu mamilion wala hatakuja Jf kuomba.
Kwa mtindo huo, hatatimiza ndoto yeyote kubwa maishani. Zitabakia ndoto tu. Hata Fb ilianza kwa bweni bila hela yeyote, amazon kwa garage, nk. Watu wasitake kuanzia ngazi ya juu, maisha na biashara itakayosimama vizuri ni lazima uanzie ngazi ya chini

Unajua kuongea Jambo Ni Sawa na kuuweka uelewa wako hadharani.

Penda kujifunza zaidi kuliko kufundisha....

Kwa kukusaidia Tafsiri ya digital marketing uliyoisemea Ni sehemu tu ya digital marketing.

Hebu jaribu kuu-update ubongo wako na uache kuwaza followers sijui fb,Instagram n.k kila unapo sikia digital marketing.

Pitia link hii utakuongeza uelewa..

 
Back
Top Bottom