Mie ninahitaji $1.5M kutengeneza Sub Sahara streaming platfom itakayoitwa ZAZA
ZAZA ni platform ambayo African movies and shows zitakuwa zinapatikana kwa watu ku stream
Tayari nimeshazungumza na Vince kampuni ya Marekani iliyobobea kwenye utengenezaji wa software na kwamba wamekubali kutengeneza Sysyem hiyo kwa $500,000 kwa muda wa miezi 6-8
Kampuni itasajiliwa Marekani na makao makuu yake yatakuwa Irvine, Califonia
Why Irvine, ni rahisi kupata tech guys ambao wana experience na tech media kama streaming platforms, etc
Na hao tech guys tayari tuna connection nao ambapo kupitia platform ya Builtinla.com tayari tumeanza na mazungumzo mawili matatu na baadhi ya tech personel
Tanzania itakuwa ni office nyingine ambapo tutakuwa tunapanga strategies zetu
Lakini tutaafungua regional offices kupitia Regus ambapo kila regional tutakuwa na members 2-5 ambapo tutafungua nchi tano za ambazo ni
[emoji117]Tanzania
[emoji117]London
[emoji117]South Africa
[emoji117]Irvine (USA)
[emoji117] Oman
Tayari tumeanza kuwa na office ya Regus Tanzania ambapo tutaendelea kufungua office zingine through somedays
Mpango wetu ni kuweka contents za Ki Africa kuanzia movies, soap opera, TV shows etc
Malengo yetu ni kuanza 2023 ambapo within 5 years mpaka 2025 tuwe na payable viewers 1M Duniani kote ambao watakuwa wamelipia kuangalia African contents
Soko la streaming kwa sasa ni $50M ambapo inaaminika mpaka kufikia 2027 itakuwa ni $184M
Africa mpaka kufikia 2027 inakadiriwa kutakuwa na potential customers 100M ambapo tuta target 1M ambayo ni 1% tu
[emoji117]Our first business mode will be B2B Mode kwa maana we will work with content creators
[emoji117] Our second business mode will get B2C ambapo hapa ni kwa clients wote waliopo ndani na nje ya Africa
Competitor mkuu ni showmax ambaye yeye strength zake ni kwamba yupo chini ya Multichoice Group so ana investment muscles kubwa na kwamba yupo nchi 65
Weakness kubwa showmax ni kwamba
[emoji117] There is no sports or news programmes to watch in evening kitu ambacho ZAZA tutakuja nacho
[emoji117] Ni ngumu ku set up profiles za familia kwa showmax ambapo sisi tutakuwa na mfumo huo
[emoji117]Showmax wiki mbili za kwanza ni free ambapo sisi tutafanya 21 days kwenye ZAZA
Pricing yetu itakuwa ni $7 per month kwa standard na $15 per month kwa premium
Mtu akiamua kulipia kwa mwaka atalipia $80 per annual kwa standard na $150 per annual kwa premium
So let's say tumepata standard people we predict kuwa
First year 100,000 payable users
Second year 280,000 payable users
Third year 400,000 payable users
Fourth year 800,000 payable users
Fifth year 1,000,000 payable users
We predict t mapato kama ifuatavyo
$8M revenue in first year
$16M revenue in second year
$36M revenue in third year
$64M revenue in fouth year
$80M revenue in fifth year
Ile $1.2M ambayo tutaitumia ku develop the platform kwa maana engineering, set up offices regional wise, and legal
Mwaka huo huo mwishoni tuta rise other $20M kwa ajili ya expansion na content integrations
Kisha other venture rounds will go on
Tuna mpango ndani ya miaka mitano tuwe tume rise $200M
So kwa mfumo huo unaona ndani ya miaka mitano ya mwanzo tutakuwa hatujapata faida sababu tume rise more than $200M lakini revenue kwa mwaka ni $80 lakini our post Money valuation itakuwa ni kubwa around 700 ambayo itavutia customers wengi zaidi na zaidi na kusaidia kuanza kutengeneza mapato
Mfumo wa malipo ni kupitia credit card only na kwa sababu kampuni itakuwa Marekani Stripe ndio watahusika katika kufanya malipo so malipo yatakuwa secured
So kama uko interested kuwekeza kwenye ZAZA $1.5 M karibu tuzungumze nakaribisha maswali
View attachment 1679517View attachment 1679518View attachment 1679519View attachment 1679520View attachment 1679521