Wazo la mradi "Digital marketing agency", initial capital 150m

Angalia features za Google Cloud au Amazon Web Services uone kama hilo unalosema ni tatizo.
Sawa boss, tutafatilia!, ila moja ya changamoto za cloud ni security unless uwekeze Sana kwenye Hilo.
 
Umeongea point kubwa sana mkuu
 
Naomba darasa la kutengeneza juice, if possible.
 
Kupondwa ni jambo la kawaida kwenye jamii. Ukiweza kuhimili majungu, wivu na maneno ya wakosoaji huwezi kushindwa kitu humu duniani.
 
Unamlinganishaje binti mpambanaji kama huyo na huyu jamaa anayetaka kupewa tu 150 million kwa ndoto yake ya mchana?
Digital marketing inahusisha fb, insta nk. Huko hata amefanikiwa kupata followers wa kutosha ndio afikirie kuna faala wa kumpa 150m? Aanze na kitu kisichohitaji hela nyingi kama social media marketing, na kikifanikiwa watu watampa tu mamilion wala hatakuja Jf kuomba.
Kwa mtindo huo, hatatimiza ndoto yeyote kubwa maishani. Zitabakia ndoto tu. Hata Fb ilianza kwa bweni bila hela yeyote, amazon kwa garage, nk. Watu wasitake kuanzia ngazi ya juu, maisha na biashara itakayosimama vizuri ni lazima uanzie ngazi ya chini
 
Post updated!

Mifano yako haiko valid kabisa, Mack wa FB walianza na rafiki yake mtoto wa Millionaire mkubwa amemwagia pesa nyingi sana mwanzoni, uyo Bezos wazizi wake Mamamillionaire kwa wakati wao walimpa mtoto wao Billion za pesa kuanza harakati uko gereji unaposema, pia wazazi wake ni watu wazito wenye Connection kubwa mpaka wanajuana na Warren Buffert ambaye Billionaire mkubwa mzazi wa Bezos alimwambia Warren mwanangu ana ka Startup kake unaweza kuwekeza pesa Imagine...kitanzaniatanzania kama mzazi wako anaweza kukaa meza moja na MO nakupiga story.

Munapotoa mifano mutoe yenye uharisia afafhari mutoe kwa Kenya japo ndio kuna near the same ecosystem.
 
Kwani huyo alieleta hii mada ww unamjua? Kwani wazazi wake hawawezi kuwa na uwezo? FB na Amazon ninachoongelea ni kwamba hawakuweka 150 million dollars mwanzoni. Walianza small. In a garage and dormitory. Hicho ndio watu mkielewe. Mtu ambaye hata hajasema amefanikiwa biashara gani atapata mtu tanzania wa kumwagia 150 million tshs? Hauoni hio ni ndoto isio halisi aisee?
 
Iko valid sana. Soma vizuri. Ww unaangalia tu kitu fulani kitakachoendana na fikra zako ili kupinga maelezo niliyoweka. Soma tena post yangu. Ninachoongelea ni kuanza small. Mie siongelei uwezo wa wazazi.
 
Wazazi wa Jeff Bezos wali-invest US$ 250,000 peke yake wakati kampuni inaundwa. Leo kampuni value yake ni $1.5 trillion. Manake $1,500,000,000,000. From $250k.
 
Wazazi wa Jeff Bezos wali-invest US$ 250,000. Leo kampuni value yake ni $1.5 trillion. Manake $1,500,000,000,000. From $250k. Also kwa USA $250k wala sio hela nyingi.
Finally umekubali kwamba ulikuwa brainwashed na theory.

Mosi, Dollars 250K ni sawa na around Million 500 in Tzs ni pesa nyingi kokote pale hapa Duniani...Money Value hiyo pesa kwakipindi hiko nisawa na Billions+ kama hutakuwa timamu kichwani.

Pili, Mzazi gani wakawaida anaweza ku-invest kwa mtoto wake Billion+ ni wangapi, huko mbali 100K hakupi, mtoa mada ana mzazi huyo kama wa Bezos.

Munapotoa mifano sio munaandika andika tu nyuma ya Keyboard ooh “mfano nani small” WTF small mtu kawekewa Billions kwenye account na babayake ujinga, ooh Kwenye garage babayako anayo hata hiyo garage kwenu.
 
Yeah uko vizuri chief! Sio sawa kumdharau mtu au kusambaza negativity. I really dislike negative energies!
 
😂😂😂. Unalinganishaje usd 250k iliyowekezwa USA eti na 500 million tshs. Ww bado sana mambo ya investment. Hata sijui kwa nini NAONGEA NA WW. NAJARIBISHA KUKUELIMISHA LAKINI NIMESHAGUNDUA LEVEL YAKO NI NDOGO SANA.

USA in google, apple, fb, amazon etc ambazo ni world's top company. Kwa hio mtu akiwekeza 250k in usa, usifikirie mtu huyo huyo atawekeza 250k in tanzania. Unanichekesha sana
 
Yeah uko vizuri chief! Sio sawa kumdharau mtu au kusambaza negativity. I really dislike negative energies!
Aaagh. Extrovert. Usiniangushe leo mkuu. 😂😂😂😂.
Yes. Nakubaliana na ww kwamba negativities sio nzuri. Ila reality ni muhimu. Ni kama miki sasa hivi na kiaka thelathini na kitu kusema nataka kuchezea Man U. Ni ndoto isio halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…