Wazo la mradi "Digital marketing agency", initial capital 150m

Ok, umejitetea vizuri mada inahusu TZ naomba uniambie hiyo pesa 250K kwa huku TZ na kihasi gani
Hapo inabidi niangalie inflation, GDP, GNP, na business indices nyingine ili kuona kuwa 250k inayowekezwa USA ni sawa na shs ngapi inayowekezwa in Tz?
 
Je, target yaki ni kuanzisha kitu kama hiki: Quickr.in ??
 
Angalia tu Diaspora.
Good day man. Tutaendeleza mjadala another time. Ila uelewe kabisa kwamba mtu anayeomba kupewa 150 million na hakuna mafanikio yeyote aliyonayo katika biashara hajui kabisa principles za business. Na kama wazazi au rafiki atampa hio 150m (sababu kwa watu wengine hawatafanya hio jambo in their right mind), itapotea yote. I GUARANTEE YOU THAT! Mie naongea ukweli tu.
 
Biashara unayowekeza US kwa milioni 200 za kibongo ukija hapa Dar unawekeza hata kwa kutumia around 45M. Inategemea kule umewekeza jimbo gani kama California unachoma zaidi ya nusu ya mtaji kwenye vitu kama bima and the alike.
Mifano hai ninayo kwa watu wawili tofauti family relatives.
 
Nzuri, Mkuu DocJayGroup tumepata 45M hatimae.

Hii pesa ni wazazi wangapi wanaweza kuwapa watoto wao hapa Tz.
 
Huku jau tu mkuu, nipe kazi ya kuzisimamia hizo kampuni.
 
Safi sana mkuu, binafsi nmelielewa kwa asilimia 100 hili wazo, kiufupi digital marketing ndio dili huko ulaya, asia, etc. leo hii marekani tangazo kumfikia mtu moja kwa kutumia google ads au fb unaweza kugharamika hata dola 3 ambayo ni elf 6 kwa mbofyo moja wa tangazo, kwa huku nchi za third world bado sana haya mambo ndio mana unaweza kugharamika hata shilingi 100 tu tangazo lako likiminywa na mtu moja, hii yote ni kuhamasisha watu watangaze bidhaa zao (promotion).

naona watu wanalalamika mambo ya servers wakati unaweza kukodisha server nje ya nchi na kuwalipa kila mwezi kwa mpesa na mambo yakawa poa tu.
 
Mie naishi USA. Wala 250k sio hela nyingi. Kwa kazi yangu, natengeneza 100k per year kirahisi sana. Nikifanya kazi full time. Na wala kazi yangu ni mambo ya nursing tu huku ughaibuni. Wala sio kazi mashuhuri sana.
Wewe ndama acha kutuona hatuna marafiki au ndugu wanaoishi huko usa, $100,000 ni zaidi ya milioni 200 kwa mwaka, huo mshahara ni wa maprofesa wengi wanaofundisha vyuo huko marekani full time.

Jaribu kupooza hio chai yako,

Hama hapo kwa shangazi ukapambane ujue hata kula chakula ulichokitolea jasho, acha stori hizi ukishiba mlenda
 
Ww mpumbavu sana. Haujui kitu halafu unajifanya unajua. Link hii hapa chini. Ya travel nurse. Salary ni $3300 kwa wiki. Sawa na $13200 kwa mwezi. TENA HIO NI KAZI MOJA TU. Sasa fikiria mtu mwenye kazi mbili. Hio moja tu yenyewe mshahara ni $13200×12 kwa mwaka ni $158,000. Hata hio $100,000 niliosema ni chini sana. NDUGU ZAKO WAAMBIE WAPAMBANE KUSOMA HATA HIO COURSE YA 2 YEARS YA RN. Usilinganishe ndg zako MABOYA na sie wapambanaji.
 
Mimi nafanya travel rn, san diego california. Hebu google search salary ya travel RN san diego, california. Ndama mwenyewe ww.
 

In order for people to invest, potential shareholders must have confidence with the people who will be running the enterprise. More information is needed for people to have confidence that they are not being conned!!
 
Mie ninahitaji $1.5M kutengeneza Sub Sahara streaming platfom itakayoitwa ZAZA

ZAZA ni platform ambayo African movies and shows zitakuwa zinapatikana kwa watu ku stream

Tayari nimeshazungumza na Vince kampuni ya Marekani iliyobobea kwenye utengenezaji wa software na kwamba wamekubali kutengeneza Sysyem hiyo kwa $500,000 kwa muda wa miezi 6-8

Kampuni itasajiliwa Marekani na makao makuu yake yatakuwa Irvine, Califonia

Why Irvine, ni rahisi kupata tech guys ambao wana experience na tech media kama streaming platforms, etc

Na hao tech guys tayari tuna connection nao ambapo kupitia platform ya Builtinla.com tayari tumeanza na mazungumzo mawili matatu na baadhi ya tech personel

Tanzania itakuwa ni office nyingine ambapo tutakuwa tunapanga strategies zetu

Lakini tutaafungua regional offices kupitia Regus ambapo kila regional tutakuwa na members 2-5 ambapo tutafungua nchi tano za ambazo ni

[emoji117]Tanzania
[emoji117]London
[emoji117]South Africa
[emoji117]Irvine (USA)
[emoji117] Oman

Tayari tumeanza kuwa na office ya Regus Tanzania ambapo tutaendelea kufungua office zingine through somedays

Mpango wetu ni kuweka contents za Ki Africa kuanzia movies, soap opera, TV shows etc

Malengo yetu ni kuanza 2023 ambapo within 5 years mpaka 2025 tuwe na payable viewers 1M Duniani kote ambao watakuwa wamelipia kuangalia African contents

Soko la streaming kwa sasa ni $50M ambapo inaaminika mpaka kufikia 2027 itakuwa ni $184M

Africa mpaka kufikia 2027 inakadiriwa kutakuwa na potential customers 100M ambapo tuta target 1M ambayo ni 1% tu

[emoji117]Our first business mode will be B2B Mode kwa maana we will work with content creators
[emoji117] Our second business mode will get B2C ambapo hapa ni kwa clients wote waliopo ndani na nje ya Africa

Competitor mkuu ni showmax ambaye yeye strength zake ni kwamba yupo chini ya Multichoice Group so ana investment muscles kubwa na kwamba yupo nchi 65

Weakness kubwa showmax ni kwamba

[emoji117] There is no sports or news programmes to watch in evening kitu ambacho ZAZA tutakuja nacho

[emoji117] Ni ngumu ku set up profiles za familia kwa showmax ambapo sisi tutakuwa na mfumo huo

[emoji117]Showmax wiki mbili za kwanza ni free ambapo sisi tutafanya 21 days kwenye ZAZA

Pricing yetu itakuwa ni $7 per month kwa standard na $15 per month kwa premium

Mtu akiamua kulipia kwa mwaka atalipia $80 per annual kwa standard na $150 per annual kwa premium

So let's say tumepata standard people we predict kuwa

First year 100,000 payable users
Second year 280,000 payable users
Third year 400,000 payable users
Fourth year 800,000 payable users
Fifth year 1,000,000 payable users

We predict t mapato kama ifuatavyo

$8M revenue in first year
$16M revenue in second year
$36M revenue in third year
$64M revenue in fouth year
$80M revenue in fifth year


Ile $1.2M ambayo tutaitumia ku develop the platform kwa maana engineering, set up offices regional wise, and legal

Mwaka huo huo mwishoni tuta rise other $20M kwa ajili ya expansion na content integrations

Kisha other venture rounds will go on

Tuna mpango ndani ya miaka mitano tuwe tume rise $200M

So kwa mfumo huo unaona ndani ya miaka mitano ya mwanzo tutakuwa hatujapata faida sababu tume rise more than $200M lakini revenue kwa mwaka ni $80 lakini our post Money valuation itakuwa ni kubwa around 700 ambayo itavutia customers wengi zaidi na zaidi na kusaidia kuanza kutengeneza mapato

Mfumo wa malipo ni kupitia credit card only na kwa sababu kampuni itakuwa Marekani Stripe ndio watahusika katika kufanya malipo so malipo yatakuwa secured

So kama uko interested kuwekeza kwenye ZAZA $1.5 M karibu tuzungumze nakaribisha maswali
 
Mkuu umetoa boko hapa iko hivi for your information Account Manager tu wa kampuni analipwa $100K annualy mbona ni mshahara wa kawaida sana kwa USA

Sio jambo la kushangaa
 
Sawa boss, tutafatilia!, ila moja ya changamoto za cloud ni security unless uwekeze Sana kwenye Hilo.
Tatizo sio security sema huna au hamna utaalam wa kuzitumia hizo server(no offence)!!

Kama AWS au microsoft azure zingekua mbovu kiusalama basi akina netflix wasingezitumia.
 
Kuna jambo moja la kufahamu:-

Ushauri unakaribishwa but at the end of the day mwenye uamuzi wa mwisho ni mshauriwa binafsi. Hili ni muhimu sana.
Sometimes you have to hear the sounds from your inner feelings. Hili nimejifunza sana. Through my experience kuna mambo nimewahi kutatua by listening to my inner feelings and take decisions japo nilikatishwa tamaa simply tuu eti kuna watu walijaribu na walishindwa tena kwa vijisabau kuwa walikuwa na PhD. Can you imagine !!!! Kama nimgefuata ushauri wa kuogopa kushindwa kwa ajili ya kuwa waliojaribu walikuwa na hiyo PhD tena foreigners then nisingejaribu.
 
Whats about DUNDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…