Unamlinganishaje binti mpambanaji kama huyo na huyu jamaa anayetaka kupewa tu 150 million kwa ndoto yake ya mchana?
****Digital marketing inahusisha fb, insta nk. Huko hata amefanikiwa kupata followers wa kutosha ndio afikirie kuna faala wa kumpa 150m?
******
Aanze na kitu kisichohitaji hela nyingi kama social media marketing, na kikifanikiwa watu watampa tu mamilion wala hatakuja Jf kuomba.
Kwa mtindo huo, hatatimiza ndoto yeyote kubwa maishani. Zitabakia ndoto tu. Hata Fb ilianza kwa bweni bila hela yeyote, amazon kwa garage, nk. Watu wasitake kuanzia ngazi ya juu, maisha na biashara itakayosimama vizuri ni lazima uanzie ngazi ya chini