Wazo langu: amani ya kweli itapatika Mashariki ya kati kwa kuigawanya nchi ya Syria kuwa nchi

Wazo langu: amani ya kweli itapatika Mashariki ya kati kwa kuigawanya nchi ya Syria kuwa nchi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote

Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika

Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo

Syria igawanywe kuwa nchi 2
Lebanon igawanywe kuwa nchi 2

Siku njema
 
Proposal ya kugawanya nchi mistari miwili ya Kiswahili? Hata kama ni very high level idea hapana. Fafanua Mkuu.
 
Kwani hizi si nchi mbili tofauti? Una uhakika na ulichoandika wewe kiumbe?
Naamini amefanya hivyo kwa makusudi ili kukusanya wachangiaji lakini akiwa tayari kwa kutolea maelezo mtazamo wake (tata)alioudhihirisha. Tujipange kumpokea!
 
Wadau hamjamboni nyote

Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika

Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo

Syria igawanywe kuwa nchi 2
Lebanon igawanywe kuwa nchi 2

Siku njema
Kwani Gaza na West bank ambazo ndo chanzo cha migogoro ya Middle East zipo Syria na Lebanon??
 
Back
Top Bottom