U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Dec 16, 2024 #1 Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo Syria igawanywe kuwa nchi 2 Lebanon igawanywe kuwa nchi 2 Siku njema
Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo Syria igawanywe kuwa nchi 2 Lebanon igawanywe kuwa nchi 2 Siku njema
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Dec 16, 2024 #2 Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon zigawanywe na kuwa nchi 2 tofauti kama ilivyokuwa ujerumani Siku njema Click to expand... Mmmm fafanua hatujaelewa
Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon zigawanywe na kuwa nchi 2 tofauti kama ilivyokuwa ujerumani Siku njema Click to expand... Mmmm fafanua hatujaelewa
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Dec 16, 2024 #3 Proposal ya kugawanya nchi mistari miwili ya Kiswahili? Hata kama ni very high level idea hapana. Fafanua Mkuu.
Proposal ya kugawanya nchi mistari miwili ya Kiswahili? Hata kama ni very high level idea hapana. Fafanua Mkuu.
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Dec 16, 2024 #4 Uzalendo wa Kitanzania said: Mataifa ya Syria na Lebanon zigawanywe na kuwa nchi 2 tofauti kama ilivyokuwa ujerumani Click to expand... Kwani hizi si nchi mbili tofauti? Una uhakika na ulichoandika wewe kiumbe?
Uzalendo wa Kitanzania said: Mataifa ya Syria na Lebanon zigawanywe na kuwa nchi 2 tofauti kama ilivyokuwa ujerumani Click to expand... Kwani hizi si nchi mbili tofauti? Una uhakika na ulichoandika wewe kiumbe?
Siri ya sifuri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 2,335 Reaction score 1,967 Dec 16, 2024 #5 pilipili kichaa said: Kwani hizi si nchi mbili tofauti? Una uhakika na ulichoandika wewe kiumbe? Click to expand... Naamini amefanya hivyo kwa makusudi ili kukusanya wachangiaji lakini akiwa tayari kwa kutolea maelezo mtazamo wake (tata)alioudhihirisha. Tujipange kumpokea!
pilipili kichaa said: Kwani hizi si nchi mbili tofauti? Una uhakika na ulichoandika wewe kiumbe? Click to expand... Naamini amefanya hivyo kwa makusudi ili kukusanya wachangiaji lakini akiwa tayari kwa kutolea maelezo mtazamo wake (tata)alioudhihirisha. Tujipange kumpokea!
Ramesses II JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,710 Reaction score 5,054 Dec 16, 2024 #6 Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo Syria igawanywe kuwa nchi 2 Lebanon igawanywe kuwa nchi 2 Siku njema Click to expand... Kwani Gaza na West bank ambazo ndo chanzo cha migogoro ya Middle East zipo Syria na Lebanon??
Uzalendo wa Kitanzania said: Wadau hamjamboni nyote Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo Syria igawanywe kuwa nchi 2 Lebanon igawanywe kuwa nchi 2 Siku njema Click to expand... Kwani Gaza na West bank ambazo ndo chanzo cha migogoro ya Middle East zipo Syria na Lebanon??
C chambo rashidi Senior Member Joined May 30, 2018 Posts 140 Reaction score 170 Dec 16, 2024 #7 Mashudu