Wazo lenye mantiki: Bil 5.4 zilizotaifishwa toka biashara haramu ya upatu zielekezwe wilayani Chato kuboresha huduma ya maji

Wazo lenye mantiki: Bil 5.4 zilizotaifishwa toka biashara haramu ya upatu zielekezwe wilayani Chato kuboresha huduma ya maji

Kwanini isijenge madarasa ili wale wanafunzi walokosa kujiunga kidato cha kwanza kisa uhaba wa madarasa wapate kusoma
Watoto waliyokosa madarasa ni wa CCM asilimia kubwa acha wakome
 
Maji yanagusa wengi.
Zikajenge karakana kubwa ya kukarabati ndege itasaidia kuinua uchumi
 
Mimi nimekuambia nimeshuhudia kwa macho yangu, sasa kama kuna sehemu zingine ruksa kuzipigia debe.
wewe kama nani wakati watanzania tupo.

Kijiji cha Chamwino ilipo Chamwino Ikulu maji tunategemea ya Mzakwe na kila siku yanakatika, kinamama bado wanabeba kichwani vijiji.

jirani vya Msanga, Chahwa, Buigiri acha hizo hela nazo zije kwetu au warudishiwe walimu waliozichanga, sijaona kosa lao
 
wewe kama nani wakati watanzania tupo
Kijiji cha Chamwino ilipo Chamwino Ikulu maji tunategemea ya Mzakwe na kila siku yanakatika, kinamama bado wanabeba kichwani vijiji jirani vya Msanga, Chahwa, Buigiri acha hizo hela nazo zije kwetu au warudishiwe walimu waliozichanga, sijaona kosa lao
Acha ukuda. Ulikuwa wapi kuomba kabla watu wa Geita hatujaziomba?
 
Acha ukuda. Ulikuwa wapi kuomba kabla watu wa Geita hatujaziomba?
acha ukuda sijui kabila gani wewe una roho mbaya, badala ya kuomba warudishiwe hela zao hao walimu maskini uanashadadia kuzila
Dhambi nyingine ni za kushangilia usivyovijua, mm nimecheza huko km Raia wengine wote wanavyocheza mitaani
 
Mahakama imetoa order,wewe na makahaba wenzako mliokuwa mnacheza upatu mlipwe fidia na Mr Kuku halafu hizi zilizopo zinataifishwa
 
Back
Top Bottom