Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Kwani mpaka hizi bil 5.4 zijenge? Acha ukuda.Kwanini isijenge madarasa ili wale wanafunzi walokosa kujiunga kidato cha kwanza kisa uhaba wa madarasa wapate kusoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mpaka hizi bil 5.4 zijenge? Acha ukuda.Kwanini isijenge madarasa ili wale wanafunzi walokosa kujiunga kidato cha kwanza kisa uhaba wa madarasa wapate kusoma
Hata feri wahamishie chato tuuNashauri na lile daraja la Ubungo (ambalo watanzania wanadanganywa kuwa ni flyover) lihamishiwe Chato.
Halima tatizo kuomba maji yapelekwe Chato?Kuna tatizo kuomba maji yapatikane chato? Acha uzwazwa.
Watoto waliyokosa madarasa ni wa CCM asilimia kubwa acha wakomeKwanini isijenge madarasa ili wale wanafunzi walokosa kujiunga kidato cha kwanza kisa uhaba wa madarasa wapate kusoma
Bukoli mbali na ziwa.Halima tatizo kuomba maji yapelekwe Chato?
Tatizo utapiganiaje mwenzio apate,wakati wewe huna ?
wewe ni mkaazi wa hapo chatu!Kuna tatizo kuomba maji yapatikane chato? Acha uzwazwa.
Sio fairTuna Mambo mengi ya kuzifanyia tulia
Mlima Kilimanjaro pia upelekwe ChatoHata feri wahamishie chato tuu
Kule Leto au wapi.🤣🤣🤣Huku usseri maji tunachota Kenya!
Inawezekana Sana mbona Mzee Rungwe Sipunda alikuwa na mkakati wa kuhamishia bahari Dodoma.Kuna kitu Danganyika hakiwezekani.Mlima Kilimanjaro pia upelekwe Chato
AgreedNatanguliza kutoa onyo kwa watanzania kuacha wivu hasa kwa wakazi wa mkoa wa Geita linapokuja suala la maendeleo...
wewe kama nani wakati watanzania tupo.Mimi nimekuambia nimeshuhudia kwa macho yangu, sasa kama kuna sehemu zingine ruksa kuzipigia debe.
Acha ukuda. Ulikuwa wapi kuomba kabla watu wa Geita hatujaziomba?wewe kama nani wakati watanzania tupo
Kijiji cha Chamwino ilipo Chamwino Ikulu maji tunategemea ya Mzakwe na kila siku yanakatika, kinamama bado wanabeba kichwani vijiji jirani vya Msanga, Chahwa, Buigiri acha hizo hela nazo zije kwetu au warudishiwe walimu waliozichanga, sijaona kosa lao
acha ukuda sijui kabila gani wewe una roho mbaya, badala ya kuomba warudishiwe hela zao hao walimu maskini uanashadadia kuzilaAcha ukuda. Ulikuwa wapi kuomba kabla watu wa Geita hatujaziomba?
Chato oyeeeeee !!+Natanguliza kutoa onyo kwa watanzania kuacha wivu hasa kwa wakazi wa mkoa wa Geita linapokuja suala la maendeleo...
Mahakama imetoa order,wewe na makahaba wenzako mliokuwa mnacheza upatu mlipwe fidia na Mr Kuku halafu hizi zilizopo zinataifishwaacha ukuda sijui kabila gani wewe una roho mbaya, badala ya kuomba warudishiwe hela zao hao walimu maskini uanashadadia kuzila
Dhambi nyingine ni za kushangilia usivyovijua, mm nimecheza huko km Raia wengine wote wanavyocheza mitaani