Wazo makini: 'BlackBox Education' ni mtego wa kifo cha Tanzania na Africa

Wazo makini: 'BlackBox Education' ni mtego wa kifo cha Tanzania na Africa

Kwa ambao mtakuwa mmenielewa, nawakaribisha sana mtoe michango. Kukaa kila mwaka tunasingizia sera na kuzibadilisha, wakati mzizi wa tatizo hauguswi, ni kupoteza muda na pesa na kujidanganya. Blackbox education haitaifanya Tz itoboe, katika eneo lolote kitaaluma, kiteknolojia, na kifikra.

Asanteni sana na karibuni tuelimishane.
Asante sana kwa mada yenye kutia matumaini ya kujua tatizo.
 
Ile kuleta maendeleo kwa watu ni lazima uwepe maarifa ambayo yataleta mageuzi ya fikra,hapa ndipo umuhimu wa elimu sahihi huja.Kwa bahati mbaya Afrika,Elimu sio muhimu kama siasa za maji taka.
 
Back
Top Bottom