Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahaKuonana tu na watu mnaogopa, pesa zao mwazitakia nini?
MTC | 101| [emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaKuonana tu na watu mnaogopa, pesa zao mwazitakia nini?
Hahahaha
MTC | 101| [emoji769]
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimecheka km lofa ujueKuonana tu na watu mnaogopa, pesa zao mwazitakia nini?
By the way ishawahi fanyika activity fulani Ocean Road once, mwaka nimesahau
Hata tukiwa 10 eti we can do it!na Mungu akatufungulia ila@Watu8[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Good idea.. But who will implement it.?
Few good ones
La moyoni hiloo akiiKuonana tu na watu mnaogopa, pesa zao mwazitakia nini?
By the way ishawahi fanyika activity fulani Ocean Road once, mwaka nimesahau
Kuonana mnaweza kuonana na msijue yupi ni yupi pia.Kuonana tu na watu mnaogopa, pesa zao mwazitakia nini?
By the way ishawahi fanyika activity fulani Ocean Road once, mwaka nimesahau
Tuliwahi kufanya na tulifanikiwa! Yes we can do it again! Sema mawazo mgando hayakosekani! Ngoja nitafute Uzi ambao tuliandaa na tukaenda kuwatembelea pale Ocean Road Hospital
Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo siku hizi unaonekana kwa mbinde sana sanaNakumbuka sana wakati huo daa
Mbarikiwe sana wote mliosaidia
Kama itatokea tena naomba unitag please
Sent from my iPhone using Tapatalk
Tatizo siku hizi unaonekana kwa mbinde sana sana
BasibMpwa, kikubwa pumzi[emoji848][emoji848]
Kwanini umesema hivyo Mkuu
Najitahidi kuchangia tu laiti ningekuwa Nina uwezo wa kuandika kama nyie ningeweka makala mengi tu
Ila nafuatilia sana mijadala ya nyumbani
Sent from my iPhone using Tapatalk
BasibMpwa, kikubwa pumzi
Happy New Mpwa!Happy new year [emoji3060]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Happy New Mpwa!