Wazo: WanaJF naomba tufanye shukrani kwa Mungu ya kufunga na kufungia mwaka kwa kutoa msaada kwa wahitaji

Wazo: WanaJF naomba tufanye shukrani kwa Mungu ya kufunga na kufungia mwaka kwa kutoa msaada kwa wahitaji

Tuanze na Mimi na wewe halafu tutag wengine basi
Mkuu hapa kwenye uzi watajitokeza wengi ila kwenye uhalisia utapata wachache au wakakosa kabisa.
Kumbuka una deal na watu wa Dar. Watu wa Dar kwa kufeki na kukimbiana ndio wanaongoza.
Hili jambo lingeanzishwa na watu wa Arusha Wing ningeamini. These guys are so real and they Got Money.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raynavero,

Yaani watu wanapenda associations associations kupita maelezo

Kila mahali ni ku socialize tu, hamna kazi mfanye mpate hela na familia zenu?

Mtandao wa siri, bado mijitu inataka kukutana sijui isaidiane nini?

Ndio maana Kenya wanatushinda kila kitu. Nhi ambazo hazina ujima wa kufata fata sana zina maendeleo kutuzidi,ila sisi na kufatafata mkiani kama waswahili ndio tunakua nyuma kwenye kila kitu!

Punguzeni, kaeni na familia zenu bwana!

Hivi Nyumba zenu hazikaliki?
 
Wazo zuri sana Raynavero naunga mkono hoja mia kwa mia, wakati wenyewe wa kuonyesha mshikamano na wenzetu wenye uhitaji hasa watoto yatima ndio huu mwanzo wa mwaka, basi ni vema tukaharakisha jambo hili la heri
 
Back
Top Bottom