Wazo: WanaJF naomba tufanye shukrani kwa Mungu ya kufunga na kufungia mwaka kwa kutoa msaada kwa wahitaji

Sasa ndugu tuliopoteana tukijuana ni shida?
Au wote humu ni ndugu kama tulivyo matajiri?


Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahahaa humu kila MTU ni Mpwa wangu! Hahahaa kama ilivyo kuwa kwamba kila MTU ni mambo safi....wote hatuna UKIMWI
 
Hahahaa humu kila MTU ni Mpwa wangu! Hahahaa kama ilivyo kuwa kwamba kila MTU ni mambo safi....wote hatuna UKIMWI

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana
Hapa ntalala sasa wala sisubiri cha mwaka mpya wala nini


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kuonana tu na watu mnaogopa, pesa zao mwazitakia nini?

By the way ishawahi fanyika activity fulani Ocean Road once, mwaka nimesahau
Wale wanaosaidia watu "deile" wana koment wapi?

Camera zimeharibu sana mambo.
 
Muelezee huyo mtu. Umeshamuona? Vithibitisho? Sina kingi lakini tukiweza kuchanga hata 5,000 kwa wingi wetu humu naimani tutafanya kitu kwa huyu mwenzetu.
Au unaonaje? Maana ni kama vile umesema umekimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa kwenye uzi watajitokeza wengi ila kwenye uhalisia utapata wachache au wakakosa kabisa.
Kumbuka una deal na watu wa Dar. Watu wa Dar kwa kufeki na kukimbiana ndio wanaongoza.
Hili jambo lingeanzishwa na watu wa Arusha Wing ningeamini. These guys are so real and they Got Money.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…