Nasubiri unialike[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!!!nikale birianiHahahaha, nacheka sababu sitoenda , na wewe huna mualiko
MTC | 101| [emoji769]
Mkuu hapa kwenye uzi watajitokeza wengi ila kwenye uhalisia utapata wachache au wakakosa kabisa.
Kumbuka una deal na watu wa Dar. Watu wa Dar kwa kufeki na kukimbiana ndio wanaongoza.
Hili jambo lingeanzishwa na watu wa Arusha Wing ningeamini. These guys are so real and they Got Money.
Muelezee huyo mtu. Umeshamuona? Vithibitisho? Sina kingi lakini tukiweza kuchanga hata 5,000 kwa wingi wetu humu naimani tutafanya kitu kwa huyu mwenzetu.
Au unaonaje? Maana ni kama vile umesema umekimbia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Blessed dearHappy New Year [emoji73], blessings and joy be unto you in 2020
Mkianza utararibu nishtue...Happy new year wapendwa naomba mwaka huu tuanze na baraka za Mungu...!!!naomba sisi ambao tumekubali tuanze hii ishu hata sisi wachache
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, karibuNasubiri unialike[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]!!!nikale biriani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe mrejesho wa maendeleo mkuu
Ok.. ngoja nikusaidie katika hili..Kaka nilimtumia msg invisible wanipe namba ya kutuma pesa za michango maana ya kwangu naogopa isionekane mmekula hajanijibu mpk mida hii sasa sijui nafanyaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo na wanaulizia piaOk.. ngoja nikusaidie katika hili..
Ngoja niitafute, ila Wapo watu walio tayari?