"Wazo zuri, ila kampuni haina budget"

"Wazo zuri, ila kampuni haina budget"

Moja kati ya kazi ambayo nimeifanya kwa muda mrefu ni ya kuuza idea.I will tell you one thing.Mara zote nilipofikiri kwamba nimepata brilliant idea nilipoiweka mezani ijadiliwe ilikuwa na matobo mengi sana.Nikajifunza.Ukimpa mtu idea akakwambia THAT is a GOOD idea basi ujue uko na IDEA mbaya sana.Ukiwa na GOOD idea people jump to it and take action to implement it because wanajua any one atakeykutana nayo will take it and reap the benefits.Keep searching and you will get some one who will support you.
Asante mkuu I'll keep searching, one obstacle cant break my knees, ila hasa nilichotaka kujua hasa kutoka kwa watu kama nyie ambao mnafanya hii issue unique, ni mambo yapi meusi yanayokua yamejificha nyuma ya jibu la Wazo zuri lakini hakuna bajeti, je kweli kazi sio nzuri? je ni mbinu ya wizi wa kazi ya mhusika? je ni kisirani cha watu waliopo kwenye vitengo? je ni jealous ya kuona mtu baki kaleta wazo zuri kuliko wewe ambaye upo kwenye kitengo muda? je ni nini??....Kujua saikolojia iliyopo nyuma ya hilo jibu ni kitu muhimu sana kwa watengeneza proposal 1-kuboresha kazi zao 2-kujiandaa kisheria kulinda haki ya kazi zao 3-kuboresha mbinu ya ku-present kazi zao nk hiki hasa ndicho nnachokitamani mkuu,....
 
Japo sio sehemu sahihi uliyotumia kuuliza swali, ila kwa faida ya watu watakao pita kwenye huu uzi, una duka/store na unataka mtu wa kukaa dukani au unataka mtu wa kutafuta soko la nafaka na unga wako?
Nahitaji mtu wa kutafuta masoko kiongozi
 
Asante mkuu I'll keep searching, one obstacle cant break my knees, ila hasa nilichotaka kujua hasa kutoka kwa watu kama nyie ambao mnafanya hii issue unique, ni mambo yapi meusi yanayokua yamejificha nyuma ya jibu la Wazo zuri lakini hakuna bajeti, je kweli kazi sio nzuri? je ni mbinu ya wizi wa kazi ya mhusika? je ni kisirani cha watu waliopo kwenye vitengo? je ni jealous ya kuona mtu baki kaleta wazo zuri kuliko wewe ambaye upo kwenye kitengo muda? je ni nini??....Kujua saikolojia iliyopo nyuma ya hilo jibu ni kitu muhimu sana kwa watengeneza proposal 1-kuboresha kazi zao 2-kujiandaa kisheria kulinda haki ya kazi zao 3-kuboresha mbinu ya ku-present kazi zao nk hiki hasa ndicho nnachokitamani mkuu,....
Mkuu cha kwanza unapokuwa na wazo lolote ambalo unajua kwamba huna uwezo wa kulitekeleza ni kujua thamani yake.Ukishajua thamni yake unaenda na mentality ya kuliweka sokoni ukiwa na price tag kabisa.Na unakuwa na values ambazo unajua mteja wako atazipata.

Baada ya hapo unapoenda sokoni kuliuza unasema kabisa kwamba wazo langu ltakupa faida flani kama ni kupunguza gharama/kuongeza ufanisi /faida.Unamueleza mteja wako kwamba ili umpe full proposal accommit kwamba atakulipa kiasi fulani cha PESa kwa full disclosure au unampa Part disclosue ambayo utalenga kumuonesha PAin points zake yaani matatizo yake na faida za kuyatatua.Baada ya kumweleza unachofanya ni kumuonesha faida atakazopata akichukua solution yako.

Kwa kufanya hivyo utakuwa umempa hamu ya kutaka kununua wazo lako na wewe mwenyewe.Usisahau kumuonesha kwamba ilo wazo umeshawashirikisha washindani wake ili ajue kabisa kwamba asipochukua yeye utapeleka kwingine.Hakikisha unampa deadline ya kuamua kama yuko tayari.

Cha muhimu usiweke kadi zako zote mezani na always tafuta mtaalamu anayewe kukushauri kuhusu wazo lako kwani wakti mwingine unaweza fikira wewe ni Genius kumbe mtupu sana kwa sababu ya information gap.Mfano unaweza kufikira kuwa na gari la kutumia maji.Ukafikiri ni wazo zzuri na lakipekee kumbe ni wazo la kawaida sana na tayari magari ya maji yapo ila hayana efficiency ya kutosha.

Ukitaka kufahamu zaidi wasiliana nami PM ili niweze kukuelekeza namna bora ya kutest IDEA yako kama ni BORA na namna ya kuipeleka sokoni au kuitekeleza kwa viwango na kwa gharama nafuu.
 
Shukrani mkuu kwa ufafanuzi, nitakuja PM soon.
 
Habari wakuu?

Ninapopeleka proposal kwenye makampuni mbalimbali nimekua nikipata mrejesho wa namna hii mara nyingi kuwa, "Wazo ni zuri, lakini hatuna bajeti"

Kwa upande mmoja naamini kweli huenda hakuna bajeti, lakini kwa upande mwingine naona kama vile ni namna waliyoamua kutumia watu wa makampuni mbalimbali kumkataa mtu, au pia huenda ni namna ya fitina inayofanywa na watu wanaokua kwenye kitengo ulichopeleka project yako kwamba endapo wazo lako kwa namna lilivyo zuri/bora huenda kampuni ikakuangalia kwa jicho la karibu halii ambayo huenda ikapelekea baadhi ya wenye vitengo kwenye kampuni kuwa mashakani....au sababu nini??
Yani mtu yupo radhi kampuni isikue ilimradi tu asitumie wazo lako.

Mawazo mazuri yanaozea kwenye makaratasi, Kampuni hazikui inavyotakiwa, sababu tu ya watu baadhi....Wakuu naomba tushirikishane tatizo hasa ni nini? Na mbinu zipi za kuepuka hili tatizo.
Lina invove technology?
 
Mkuu cha kwanza unapokuwa na wazo lolote ambalo unajua kwamba huna uwezo wa kulitekeleza ni kujua thamani yake.Ukishajua thamni yake unaenda na mentality ya kuliweka sokoni ukiwa na price tag kabisa.Na unakuwa na values ambazo unajua mteja wako atazipata.

Baada ya hapo unapoenda sokoni kuliuza unasema kabisa kwamba wazo langu ltakupa faida flani kama ni kupunguza gharama/kuongeza ufanisi /faida.Unamueleza mteja wako kwamba ili umpe full proposal accommit kwamba atakulipa kiasi fulani cha PESa kwa full disclosure au unampa Part disclosue ambayo utalenga kumuonesha PAin points zake yaani matatizo yake na faida za kuyatatua.Baada ya kumweleza unachofanya ni kumuonesha faida atakazopata akichukua solution yako.

Kwa kufanya hivyo utakuwa umempa hamu ya kutaka kununua wazo lako na wewe mwenyewe.Usisahau kumuonesha kwamba ilo wazo umeshawashirikisha washindani wake ili ajue kabisa kwamba asipochukua yeye utapeleka kwingine.Hakikisha unampa deadline ya kuamua kama yuko tayari.

Cha muhimu usiweke kadi zako zote mezani na always tafuta mtaalamu anayewe kukushauri kuhusu wazo lako kwani wakti mwingine unaweza fikira wewe ni Genius kumbe mtupu sana kwa sababu ya information gap.Mfano unaweza kufikira kuwa na gari la kutumia maji.Ukafikiri ni wazo zzuri na lakipekee kumbe ni wazo la kawaida sana na tayari magari ya maji yapo ila hayana efficiency ya kutosha.

Ukitaka kufahamu zaidi wasiliana nami PM ili niweze kukuelekeza namna bora ya kutest IDEA yako kama ni BORA na namna ya kuipeleka sokoni au kuitekeleza kwa viwango na

Lina invove technology?
Kwa asilimia ndogo sana...kwanini umeuliza?
 
Kampuni za kibongo ni wauni at least kwa Kenya ndio maana unasikia tu mpesa imeanzishwa huko sportspesa na zingine nyingi ma wanaotoa idea are reward handsome ila hapa kwetu wataikataa na watataka kuifanya wao ndio maana hatufiki hata border hatuvukikwa maswala ta ubinafsi
 
Bahati mbaya unaweza kukuta huko ulikoipeleka wakaikataa tayari wao wameshaanza kuifanyia kazi huku wewe ukidhani hawakuipenda.

Ndio bongoland hiyo.
 
Umeonaaa....hata mimi kuna jamaa alinishauri nipeleke IDEAS zangu Kenya
 
Bahati mbaya unaweza kukuta huko ulikoipeleka wakaikataa tayari wao wameshaanza kuifanyia kazi huku wewe ukidhani hawakuipenda.

Ndio bongoland hiyo.
Asa kwanini umwambie mtu kuwa ana wazo zuri ila hakuna bajeti, kwani ukisema kuwa hilo wazo uliloleta tayari tunalo kwenye strategy zetu, kuna ubaya gani? kwanini udanganye mkuu
 
Mkuu usinilaumu mimi. Mimi nimekuhabarisha tu uhalisia na hulka za wabongo. Ukiwa na idea nzuri anakukatisha tamaa au kujidai kukusifia kinafki ila kiujumla huwa hapendi ufanikiwe.
 
Back
Top Bottom