Wazoefu na wabobezi: Nina akiba ya Tsh. Milioni 50 nianze na kipi maishani?

Wazoefu na wabobezi: Nina akiba ya Tsh. Milioni 50 nianze na kipi maishani?

Mkuu Fanya hii kitu 👇harafu unakaa unatulia zako unaitwa mama/baba mwenye Nyumba hizi hazikutupi mjini humo mpaka uzeeni unapangisha tu
1738691009172.jpg
 
Habarini za wakati huu ndugu zangu wapendwa wa Jf.

Ni hivi,
Kuna maeneo ya familia yameuzwa mahali na kila mwanafamilia amepata gawio la Mil.45.
Na kwa kuwa nilikuwa na akiba ya kama Mil.5 benki basi nikajumuisha na ile Mil.45 ikawa kama Mil.50.

Najua humu kuna watu wa kada mbalimbali
Wafanyabiashara,
Washauri wa kazi,
Wajenzi,
Wauza bidhaa mbalimbali,
Madalali,
Wasomi n.k

Sasa nimeleta hoja hii mezani kwenu ili mnishauri nianze na kipi katika hiyo pesa.
Kumbuka hapo
1. Sijajenga
2. Sina kiwanja
3. Sina biashara yoyote
4. Sijaolewa (wanasemaga mume ni asset)
5. Kazi yangu ni ya 'kijungujiko'
6. Umri wangu ni miaka 30 na dini yangu ni Mkristo Mkatoliki.

Please wale wa kusema niweke mkeka utoe Odd hapana.
Nahitaji kufanyia mambo ya maana tu.

Naombeni msaada kabla sijajua cha kufanya.
Asanteni
Miaka 30 hujaolewa na una 50mil kibindoni? Hiyo inatosha kununua mme! Mjoo pm tuyajenge
 
Habarini za wakati huu ndugu zangu wapendwa wa Jf.

Ni hivi,
Kuna maeneo ya familia yameuzwa mahali na kila mwanafamilia amepata gawio la Mil.45.
Na kwa kuwa nilikuwa na akiba ya kama Mil.5 benki basi nikajumuisha na ile Mil.45 ikawa kama Mil.50.

Najua humu kuna watu wa kada mbalimbali
Wafanyabiashara,
Washauri wa kazi,
Wajenzi,
Wauza bidhaa mbalimbali,
Madalali,
Wasomi n.k

Sasa nimeleta hoja hii mezani kwenu ili mnishauri nianze na kipi katika hiyo pesa.
Kumbuka hapo
1. Sijajenga
2. Sina kiwanja
3. Sina biashara yoyote
4. Sijaolewa (wanasemaga mume ni asset)
5. Kazi yangu ni ya 'kijungujiko'
6. Umri wangu ni miaka 30 na dini yangu ni Mkristo Mkatoliki.

Please wale wa kusema niweke mkeka utoe Odd hapana.
Nahitaji kufanyia mambo ya maana tu.

Naombeni msaada kabla sijajua cha kufanya.
Asanteni
Anza na mimi niwe mme wako ndo nikushauri nini cha kufanya mrembo
 
Back
Top Bottom