Wazoefu na wabobezi: Nina akiba ya Tsh. Milioni 50 nianze na kipi maishani?

Nunua kiwanja sehemu potential
 
Km uko s
Kama uko serious,biashara ya catering fresh.
Hit pm nikupe mchanganuo vizuri
 
hujasema ulipo na hio kijumbe jiko sijui ni nini,kwa mahali nilipo au mji kama wa kahama una demand kubwa ya nyumba hizi apartment self sebule jiko ni kama laki 150 mpaka tatu kwa mwezi,kwa hio hela kwa ujenzi wa kawaida wa hapa na ununuzi wa kiwanja eneo bora kidogo ni kama m10,gharma za ujenzi ukikomaa sana unaweza kusimamisha chuma sebule jiko 4..unaanza kupangisha kwa bei ya chini kidogo maana kwa hio hela unaweza ukawa hata fensi hujapiga.. unaingia kwenye hio biashara ya real estate.. chaap... kuna jamaa angu kaingiza m70 familia 6 zikajaa kabla rangi haijakauka...japo inalipa kidogo kidogo ila benki ikisoma cashflow ya nyumba inaweza kukupa kamkopo cha kujipanga.
 
Na 4 ifute kwenye list kwanza, hujasema upo maeneo gani ili tukushauri vzr sasa.
 
 
Wee miyeyusho kaka umeanzisha Uzi kule Maisha magumu unataka uchukuwe maamuzi magumu
 
Iweke UTT kwa mwaka mzima upoe kwanza na uizoee, baada ya hapo anza kuangalia cha kufanya kinachoendana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…