Wazoefu nipeni ABC Niko pekeangu na wife anakaribia kujifungua

Unapendwa eeee!..
sasa tulia utakavyokuwa unanitukana matusi mazito huko leba mara "kenzy wewe ni kasongoo yeyeee!"
hapo jirani hayupo ni wewe na nesi halafu nesi Sura ya baba!...🀣
 
Ushauri wangu;
Kama huwezi kumpeleka kwa ndugu au kumleta ndugu yako wa kike (mwenye watoto) nyumbani kwako; tafuta mama hapo jirani uingie naye mkataba wa kukuangalia wife kwa miezi miwili (day care)
Wife akijifungua atahitaji msaada wa kuogeshwa & mtoto, kukandwa tumbo nk nk sasa sio rahisi kwa mwanamme kufanya vizuri na bado una majukumu ya kiutafutaji
Naamini kila mahala kuna wamama wanaoheshimika na ukiwauliza hao, watakushauri mama mzuri mtaani kwako wa kukusaidia suala lako...
Kuogesha mtoto mchanga wa siku moja hadi mwezi sio mchezo.......unaweza kuharibu ukaja jilaumu bure!
WAHI CHAP KABLA MTOTO HAJAJA....
 
Asi
Asisahau hela za usafiri na mizagzaga!
 
Unapendwa eeee!..
sasa tulia utakavyokuwa unanitukana matusi mazito huko leba mara "kenzy wewe ni kasongoo yeyeee!"
hapo jirani hayupo ni wewe na nesi halafu nesi Sura ya baba!...🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚Ukikuta wamama wanasimulia mada za leba utacheka Hadi uvunjike mbavu ni amazing experience za maumivu na furaha aisee
 
Who,?which?where?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nakumbuka tu nasikiaga amsaidie kujisafisha huku chini wanasema hawafikii
Weee

Hawafiki wakiwa wajawazito au post natal??

Give some more point
 
Tafuta demu uwe unamtom.bea mbali. Wanawake kipindi cha mimba kupewa nyappu kipengele
Kwa baadhi ya watu sio sawa anaweza mpelekea matatizo wakat wa kujifungua hasa akiwa anaenda Kwa mkewe pia akitoka huko nje ndo maana wengine mimba ikikua kidogo tu wanaenda Kuishi kwao kukwepa hiyo mambo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Ukikuta wamama wanasimulia mada za leba utacheka Hadi uvunjike mbavu ni amazing experience za maumivu na furaha aisee
we chekelea tu ipo siku nawe utasimulia tu wanasema malipo ni hapahapa duniani..πŸ˜‚
 
Weee

Hawafiki wakiwa wajawazito au post natal??

Give some more point
Huwa hawawez kujisafisha sababu ya tumbo hawaoni na hawafikii so ni vizuri mumewe amsafishe πŸ˜ƒπŸ˜ƒngoja madokta waje lakin ni kweli
 
uzazi sio mchezo lakin ni experience nzuri Kwa wanawake mm nitasimukia aisee sababu nasubir Kwa hamu mno Mungu ataponibariki inshallah yaani sijui nitakuwa na feeling gani Ile napewa katoto kangu 😍
mbona unaweka umoja usiseme kangu sema ketu lione lichoyo lichoyo tu...🀣
 
Nunua vifaa vya kujifungulia kama kanga, vitenge, gloves, n.k pia mtoto akizaliwa kuna vitu pia vya kununua kama babyshow, beseni, kofia soksi, vinguo, chupa ya chai na mtori, pia uwe na akiba kidogo ukiondoa hivyo akiba kama ya laki 2 had 3, kuna vigharama vya ajabu vinaingezekaga kama kumuhonga nesi amhudumie vizuri kama ni hospitali ya serikali, usafiri wa taksi, chakula spesho kwa mama na gharama zingine huja wakati huo. Inshort uwe na hela ya akiba si chini ya laki 2 had 5
 
Hata usihofu mimi nlishatoboa mara 2 bila kuwa na mtu mwngn ni mimi na mwanamke wng tu thanks GOD ALITUTETEA bt nasikitika sn mtoto mmojawapo alishafariki akiwa ameshakuwa na miaka 2 mpk leo naumia sn KWAHERI SUCCESS MUNGU AZIDI KUWA NAWE HUKO ULIKO still baba yako ninakukumbuka sn nisamehe nlipowahi kukukosea kama baba yako byeeee.
 
Ushauri namba moja huu hapa.
 
Pole sana mkuu.
 
[emoji3516]
TATEPA ya Milioni 3 tumeiona.
 
Pole
 
K ya mamakijacho tamu jamani mimi nilitmba mipaka miezi nane πŸ˜‹

Usiogope kazi rahisi tu mwahishe hospital akapimwe njia km ipo tayar wiki mbili kabla ya tarehe za matarajio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…