Wazoefu nipeni ABC Niko pekeangu na wife anakaribia kujifungua

sijasoma ila nitajibu kutokana na kichwa cha habari ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
 
 
Duh 🙄
 
Kuna Kazi nyingi Sana, kupika, kufua, kununua vyakula, kumkanda Tumbo, kufanya usafi WA nyumba. Inamana huna Kazi? Mwez mzima utaweza kushinda nyumbani?

Tafuta hata mfanyakazi akusaidie kaz ndogo dogo, hata kama utakua off Kazini hizo Kazi ni nyingi Sana, usiwe kumuingiza shem kwenye majukumu kabla hajapona vizur
 
Kama ni uzao wa pili usiwaze,,Mama mtoto anajua namna ya kulea,,Cha kufanya akisikia uchungu muwahishe Hospital.Akishajifungua hakikisha siku tatu za mwanzo unamsaidia kufua na kumpikia au unaeza omba jirani apo akusaidie kupika misosi.But make sure weew ndiyo utafua zile nguo alizotoka nazo hospital.Pia asisahau kufunga tumbo Hilo na Kanga au hata kitenge
 
mama yako km yupo hai si aje mbona simple km mama huna dada je na vipi ukweni kwako hmn hao watu, sisi watu wa kaskazini suala la nani wa kumhudumi mzazi linafahmik wew mwanaume tafta pesa tu
 
Tafuta mdada wa kumsaidia kazi namana akijidungua anatakiwa apate msaada kabla ya viungo vyake kukaza elewa kukaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…