Hahaha, wewe ni mtata....kuna miaka fulani Katibu Mkuu wa W/Viwanda na Biashara alikuwa anawataka wafanyakazi wa wizara yake wavae mavazi kama vitenge siku ya Ijumaa. Wenzako walilazimika kufanya hivyo. "Kaka" wa kutoka hapo wizarani nahisi kipande kingine kitakuwa kwa Katibu Mkuu