Wazoefu nipeni ushauri. Shati la kitenge limeleta utata huku

Wazoefu nipeni ushauri. Shati la kitenge limeleta utata huku

Au kaptura
Utavalia na ile t-shirt yako nzurinzuri[emoji7]
Ngoja nikuonyeshe jinsi watu wanavyopendeza
Kama Ina sense hivi mamito..🤔
Lakini usije nibadilikia ukasema na boksa..🤣😂
 
Kama Ina sense hivi mamito..[emoji848]
Lakini usije nibadilikia ukasema na boksa..[emoji1787][emoji23]
Ngoja nikuonyeshe watu wanavyotokelezea
Mnaoponda vitenge nyie ndio washamba sasa
 
Hahaha, wewe ni mtata....kuna miaka fulani Katibu Mkuu wa W/Viwanda na Biashara alikuwa anawataka wafanyakazi wa wizara yake wavae mavazi kama vitenge siku ya Ijumaa. Wenzako walilazimika kufanya hivyo. "Kaka" wa kutoka hapo wizarani nahisi kipande kingine kitakuwa kwa Katibu Mkuu
[emoji23]
 
Mkuu inaonekana huyo MTU wako hujampenda sana. Kuna Watu wangevaa hata shati la kanga ili ampate. Watu wanabadili dini yaani full maigizo Ili ampate anaempenda. Akishampata anarudi kwenye asili yake
 
Back
Top Bottom