Wazoefu wa Aliexpress

Wazoefu wa Aliexpress

Hicho ndicho ninqchokionq kwenye mzigo wangu, niko mpole nasubiri nione mwisho wake utakuwaje
 
Halafu mizigo sometimes inafika mapema sana ila pale kwenye handling inaweza chukua mpaka miezi miwili, karibuni nilienda kuchukua mzigo wangu ambao seller alishanipa refund kwa sababu niliona haufiki ila kwenda pale nikaone lile karatasi lilikuwa printed miezi miwili nyuma ila mpaka nakuja kupewa taarifa ni tooo late
 
Kama mzigo uliupata mrudishie seller ela yake.
 
Nili order mzigo mwaka 2020 leo ndio nime kabidhiwa nimecheka sanaa maana nili request refund na seller akarejesha pesa na nikaila na mzigo ndio huooo kautumaaaa
 
Halafu mizigo sometimes inafika mapema sana ila pale kwenye handling inaweza chukua mpaka miezi miwili, karibuni nilienda kuchukua mzigo wangu ambao seller alishanipa refund kwa sababu niliona haufiki ila kwenda pale nikaone lile karatasi lilikuwa printed miezi miwili nyuma ila mpaka nakuja kupewa taarifa ni tooo late
Kama umepata mzigo,mpe seller haki yake mkuu.
 
Duh, nahisi ndio kinachoenda kunitokea kwa kununua freeshipping
Sometimes free shipping inawahi sometimes inachelewa

Nilitumiaga free shipping Niliagizaga mzigo mwezi wa tano ukafika mwezi wa tisa na nilisha cancel order nikadai refund nikasahau kabisa siku nmekaa naona posta wametuma sms nikachue mzigo wangu

Pia niliagizaga mizigo mingine miwili free shipping kwa nyakati tofauti lakini ilifika ndani ya wiki 3 yote kwa pamoja na suppliers walikua tofauti

Kwahyo free shipping ni kubeti[emoji28]
 
Unakuta zile gari za dar to mikoani labda Arusha ..wewe ukalibahatisha sa nne asubuh nauli 25K NA limejaa kitendo Cha kupanda likaondoka ndicho kilichokutokea wewe
 
Nothing is free in this world

Mfano Kwenye hiyo mambo ya shipping wanakwambia if you don't pay it in cash you will pay it with time
 
Paid shipping ni nzuri sana, niliagiza drawing tablet mwezi wa sita tarehe 28, tarehe 12 ikawa imeshafika Bongoland.
 
Ah mwaache atoe sadaka siku mojq moja kumshukuru Allah maana kanga la Uviko 19 kama lilimuacha salama huko Wuhan basi ashukuru Allah na sadaka yake ndio ametoa
Sadaka ni hiyari yake,kama ajasema ni sadaka unaitaje sadaka, uaminifu ni kitu muhimu sana,
Lipa mkuu.
 
Paid shipping ni nzuri sana, niliagiza drawing tablet mwezi wa sita tarehe 28, tarehe 12 ikawa imeshafika Bongoland.
Hii kitu ndo nataka niagize na mimi ila nasita kwenye uhakika wa kuletewa,, vipi kodi makato yake ikishafika huku ni asilimia ngapi ya manunuzi?
 
Attachments

  • Screenshot_20220925-164008.jpg
    Screenshot_20220925-164008.jpg
    64.9 KB · Views: 42
Back
Top Bottom