Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu mizigo sometimes inafika mapema sana ila pale kwenye handling inaweza chukua mpaka miezi miwili, karibuni nilienda kuchukua mzigo wangu ambao seller alishanipa refund kwa sababu niliona haufiki ila kwenda pale nikaone lile karatasi lilikuwa printed miezi miwili nyuma ila mpaka nakuja kupewa taarifa ni tooo lateHicho ndicho ninqchokionq kwenye mzigo wangu, niko mpole nasubiri nione mwisho wake utakuwaje
Kama mzigo uliupata mrudishie seller ela yake.Halafu mizigo sometimes inafika mapema sana ila pale kwenye handling inaweza chukua mpaka miezi miwili, karibuni nilienda kuchukua mzigo wangu ambao seller alishanipa refund kwa sababu niliona haufiki ila kwenda pale nikaone lile karatasi lilikuwa printed miezi miwili nyuma ila mpaka nakuja kupewa taarifa ni tooo late
😆😆😆 Hatari sana hyo shipping method.Cainiao niliagiza sept 2021 kufika August 2022😁😁
Nishawasiliana nae , nimempatiaKama mzigo uliupata mrudishie seller ela yake.
Kaka hata kama sio free shipping, mizigo mingi inakwama ama kuganda dar es salaam na wakati mwingine inapotea kabisa.Free shiping ni shida, mm mzigo uko dar, wiki ya tatu sasa haujafika morogoro
Kama umepata mzigo,mpe seller haki yake mkuu.Halafu mizigo sometimes inafika mapema sana ila pale kwenye handling inaweza chukua mpaka miezi miwili, karibuni nilienda kuchukua mzigo wangu ambao seller alishanipa refund kwa sababu niliona haufiki ila kwenda pale nikaone lile karatasi lilikuwa printed miezi miwili nyuma ila mpaka nakuja kupewa taarifa ni tooo late
Mkuu mlipe haki yake.Nili order mzigo mwaka 2020 leo ndio nime kabidhiwa nimecheka sanaa maana nili request refund na seller akarejesha pesa na nikaila na mzigo ndio huooo kautumaaaa
Kampuni gani Tanzania wako well recognized na Alibaba kwa kusafirisha parcel kwa njia ya ndege na meliMkuu mlipe haki yake.
Sometimes free shipping inawahi sometimes inachelewaDuh, nahisi ndio kinachoenda kunitokea kwa kununua freeshipping
Unakuta zile gari za dar to mikoani labda Arusha ..wewe ukalibahatisha sa nne asubuh nauli 25K NA limejaa kitendo Cha kupanda likaondoka ndicho kilichokutokea weweSometimes free shipping inawahi sometimes inachelewa
Nilitumiaga free shipping Niliagizaga mzigo mwezi wa tano ukafika mwezi wa tisa na nilisha cancel order nikadai refund nikasahau kabisa siku nmekaa naona posta wametuma sms nikachue mzigo wangu
Pia niliagizaga mizigo mingine miwili free shipping kwa nyakati tofauti lakini ilifika ndani ya wiki 3 yote kwa pamoja na suppliers walikua tofauti
Kwahyo free shipping ni kubeti[emoji28]
Nothing is free in this worldUnakuta zile gari za dar to mikoani labda Arusha ..wewe ukalibahatisha sa nne asubuh nauli 25K NA limejaa kitendo Cha kupanda likaondoka ndicho kilichokutokea wewe
Ah mwaache atoe sadaka siku mojq moja kumshukuru Allah maana kanga la Uviko 19 kama lilimuacha salama huko Wuhan basi ashukuru Allah na sadaka yake ndio ametoaMkuu mlipe haki yake.
Sadaka ni hiyari yake,kama ajasema ni sadaka unaitaje sadaka, uaminifu ni kitu muhimu sana,Ah mwaache atoe sadaka siku mojq moja kumshukuru Allah maana kanga la Uviko 19 kama lilimuacha salama huko Wuhan basi ashukuru Allah na sadaka yake ndio ametoa
Sawa mkuu,Sadaka ni hiyari yake,kama ajasema ni sadaka unaitaje sadaka, uaminifu ni kitu muhimu sana,
Lipa mkuu.
Hii kitu ndo nataka niagize na mimi ila nasita kwenye uhakika wa kuletewa,, vipi kodi makato yake ikishafika huku ni asilimia ngapi ya manunuzi?Paid shipping ni nzuri sana, niliagiza drawing tablet mwezi wa sita tarehe 28, tarehe 12 ikawa imeshafika Bongoland.