Kama ni kupiga kurwla, bila blah blah, mi ningesema RVR, Impreza XV, hafu CX3.
Sure, mchawi ajikite zaidi kwenye maintenance ya CVT, kila 40k kms abadirishe fluid, OG tu.Chukua RVR kwa ulinganifu wa hayo uliyotaja, engine aina ya MIVEC ni nzuri na ngumu, ukomo wake wa KM ni mkubwa. Tumia recommended original oil, zingatia service hutojutia hiyo gari kwa ulinganifu wa gharama ya pesa.
Sure, mchawi ajikite zaidi kwenye maintenance ya CVT, kila 40k kms abadirishe fluid, OG tu.
Hivi na Ractis eeh? Kuna coworker kinamtesa. Kaenda Toyota Msimbazi CVT Fluid wamemuambia 300k, karudi kwa fundi fundi kasema nipe 100k inatosha. 😁😁😁Ndio mkuu. CVT zinawatesa sana watu wa rumion, wanafikiri ni gearbox ya corolla ATF hadi za kupima unaweka. 😁
Hivi na Ractis eeh? Kuna coworker kinamtesa. Kaenda Toyota Msimbazi CVT Fluid wamemuambia 300k, karudi kwa fundi fundi kasema nipe 100k inatosha. 😁😁😁
Nimemwambia Nenda kawape Toyota 300k chap toa uchafu aliokuwekea fundi wako.
Nadhani Kariakoo/Ilala wapo kibao.Sawa mkuu shukran, hivi sehemu zipi wana hizo fluid OG?
Tanzania kununua gari lolote la 2020+ ni anasa. Unakuta ushuru Mil 20+Watanzania tumekua waoga sana aisee TRA punguzeni kodi za uchakavu watu wanununue magari bila hofu na tutapunguza kununua suti kila kukicha magari ya zamani na yanayofanana.
Muongoza Tayari Umetolewa
Kuna urban cruiser ya 2025 ipo SA nimepata ya auction inataka kodi 26m kigari kidogo kama mkono na Hilux double cab ya 2023 kodi 23m..Tanzania kununua gari lolote la 2020+ ni anasa. Unakuta ushuru Mil 20+