Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Eti hii imekaaje?
Umeolewa labda tuseme miaka 5 nyuma miaka yote hiyo mmeo ni wa kimoja cha sekunde 2 kamaliza umejitahidi kila namna kumpikia vyakula vyakuboost tendo wapi na akimaliza unajitahidi tena aende roundi nyingine lkn hamna bàsi unazoea hayo maisha.
Lkn baada ya miaka 5 unamfumania anafanya mapenzi na rafiki yako yaani rafiki wa mke tena jamaa anaonekana kafa kaoza kwa rafiki wa mke, baada ya mke kugundua jamaa anaomba sana msamaha.
Ila sasa chakushangaza jamaa kuanzia hapo anaanza kupiga mechi mpaka mke anashangaaa kwa mara ya kwanza mke anaanza kufika kileleni yaani tangu afumaniwe na aombe msamaha.
Anamuandaa mke mda mrefu na anahakikisha mke karidhika. Je, kwa nyie wazoefu wa kuchepuka hapa tatizo lilikua nini?
Pia, jamaa (mme) tangu afumaniwe amekua mtu wa mawazo sana, kapoteza furaha yaani yupoyupo tu.
Kuna nini?