Wazoefu wa kuchepuka hii imekaaje?

Wazoefu wa kuchepuka hii imekaaje?

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Eti hii imekaaje?

Umeolewa labda tuseme miaka 5 nyuma miaka yote hiyo mmeo ni wa kimoja cha sekunde 2 kamaliza umejitahidi kila namna kumpikia vyakula vyakuboost tendo wapi na akimaliza unajitahidi tena aende roundi nyingine lkn hamna bàsi unazoea hayo maisha.

Lkn baada ya miaka 5 unamfumania anafanya mapenzi na rafiki yako yaani rafiki wa mke tena jamaa anaonekana kafa kaoza kwa rafiki wa mke, baada ya mke kugundua jamaa anaomba sana msamaha.

Ila sasa chakushangaza jamaa kuanzia hapo anaanza kupiga mechi mpaka mke anashangaaa kwa mara ya kwanza mke anaanza kufika kileleni yaani tangu afumaniwe na aombe msamaha.

Anamuandaa mke mda mrefu na anahakikisha mke karidhika. Je, kwa nyie wazoefu wa kuchepuka hapa tatizo lilikua nini?

Pia, jamaa (mme) tangu afumaniwe amekua mtu wa mawazo sana, kapoteza furaha yaani yupoyupo tu.

Kuna nini?
 
Eti hii imekaaje??
Umeolewa labda tuseme miaka 5 nyuma miaka yote hiyo mmeo ni wa kimoja cha sekunde 2 kamaliza umejitahidi kila maniwe na aombe msamaha.. anamuandaa mke mda mrefu na anahakikisha mke karidhika...je kwa nyie wazoefu wa kuchepuka hapa tatizo lilikua nini??
2 jamaa tangu hapo amekua mtu wa mawazo sana , japoteza furaha yan yupoyupo tu
Kuna nn?
Kwa kifupi hakuna upungufu wa nguvu za kiume...isipokuwa wanaume wamezidiwa na michuchu mingi
 
Wanaume huwa tunawakinai Wanawake,full stop.Kama unadhani jamaa ni wa bao moja wewe MPE Mwanamke mwingine mpya utaona ataebda hadi bao 5.

Huyo huyo Mwanamke ukimgonga sana unamzoea na ile hashiki juu yake inapungua mwishowe tena wanakuwa wa bao mmoja-this is normal kwa Wanaume wengi.
Ndio maana kila Siku hatukosi kutamani wanawake wapya.
 
Huenda tatizo lilikuwa jamaa, alikuwa anaridhika mechi za nje akirudi nyumbani amechoka, ametumika sana anatimiza wajibu tu kupiga mechi.
Huenda tatizo lilikuwa la mke alikuwa hatoi ushirikiano vizuri sababu alijua hana mpinzani, sasa kaona ushindani kajiongeza kwa usafi, mahaba, heshima, nidhamu, na mautundu hivyo jamaa anafurahia mechi ya nyumbani.
Either way mwanamke ashukuru hilo fumanizi limewafungua wote wajue walikuwa wanakosea wapi.

Mwisho wanawake muache 'complacency' mkiwa ndani ya ndoa, wengi mmeridhika mnajiachia hovyo, wavivu kwenye 6x6, wanaume wengi huku kwenye vikao vyetu wanalalamika wake zao sasa wamekuwa wachafu inaweza kuwa usafi wa chumbani, nguo, na mwili, wengi wamejiachia mwili, majukumu yao mengi wamewaachia house girls. Wengine viburi baada ya kuhakikisha wamepiga pingu na wamezaa na wadau husika.
 
2dbd654c-72d6-4008-87f3-cae64c24622f.jpg

Inategema na mechi na uwanja wenyewe ukoje
 
Nilidhani niko peke yangu
Huyu anaelezea story inayomuhusu, katikati ya story kajichanganya kama vile anahadithia story ya rafiki yake. Angeendeleza story alivyoianza kwamba inamhusu Ili watu wawe free kumpa ushauri yeye kama yeye?,labda tumuulize swali.., kipindi cha uchumba wao zaidi ya miaka mitano nyuma ilikuwa ni SHOW SHOW au kimoja Cha sekunde mbili Chali!??..
 
Huyu anaelezea story inayomuhusu, katikati ya story kajichanganya kama vile anahadithia story ya rafiki yake. Angeendeleza story alivyoianza kwamba inamhusu Ili watu wawe free kumpa ushauri yeye kama yeye?,labda tumuulize swali.., kipindi cha uchumba wao zaidi ya miaka mitano nyuma ilikuwa ni SHOW SHOW au kimoja Cha sekunde mbili Chali!??..
Wanaogopaga kusema ni zao.
Utasikia jamaa angu anauliza hivi na vile..
 
Alikuwa anamvutia picha huyo mchepuko wake jinsi anavyomfinyia kwa ndani (hakuwa na tofauti na mpiga puli) thus why hakuwa anachelewa ila sasa ameshagundulika na wameshaachana na huyo mchepuko, hiyo imagnation haifanyi tena kwahiyo ni kumkaza kama kawaida yes that's all.
[emoji4]
 
Huyu anaelezea story inayomuhusu, katikati ya story kajichanganya kama vile anahadithia story ya rafiki yake. Angeendeleza story alivyoianza kwamba inamhusu Ili watu wawe free kumpa ushauri yeye kama yeye?,labda tumuulize swali.., kipindi cha uchumba wao zaidi ya miaka mitano nyuma ilikuwa ni SHOW SHOW au kimoja Cha sekunde mbili Chali!??..
Hapana nadhan ni namna ya kuiwasilisha tu mimi sio mhusika na hapo nimeandika wanamiaka 5 ya ndoa kwenye uchumba hawajawahi kufanya mapenz
 
Eti hii imekaaje??
Umeolewa labda tuseme miaka 5 nyuma miaka yote hiyo mmeo ni wa kimoja cha sekunde 2 kamaliza umejitahidi kila namna kumpikia vyakula vyakuboost tendo wapi na akimaliza unajitahidi tena aende roundi nyingine lkn hamna bàsi unazoea hayo maisha..

Lkn baada ya miaka 5 unamfumania anafanya mapenz na rafiki yako yan rafiki wa mke tena jamaa anaonekana kafa kaoza kwa rafiki wa mke, baada ya mke kugundua jamaa anaomba saana msamaha

ila sasa chakushangaza jamaa kuanzia hapo anaanza kupiga mechi mpaka mke anashangaaa kwa mara ya kwanza mke anaanza kufika kilelen yani tangu afumaniwe na aombe msamaha..

anamuandaa mke mda mrefu na anahakikisha mke karidhika.. .je kwa nyie wazoefu wa kuchepuka hapa tatizo lilikua nini??

2 jamaa ( mme) tangu afumaniwe amekua mtu wa mawazo sana , kapoteza furaha yan yupoyupo tu
Kuna nn?
ukiwa na mwanamke mmjoa muda mrefu unalemaa yaani kuna vitu unahisi unavifanya sahih kumbe unazingua na wanawake type ya kizamani hawasemi tena anakuigizia unajiona kidume lakin ukibadilisha radha unayaona mapungufu na kuyafanyia kazi usiaibike tena
 
Back
Top Bottom