Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaweza kuuza nyumba pasipo mkopo, basi afadhali uiuze nyumba yako ili upate pesa ukafanye biasharaSiwezi kushindwa Kulipa, vilevile endapo kama nitashindwa kulipa basi hiyo nyumba nitaiuza mwenyewe niwamalizie deni lao nibaki nachenji
Siwezi kushindwa Kulipa, vilevile endapo kama nitashindwa kulipa basi hiyo nyumba nitaiuza mwenyewe niwamalizie deni lao nibaki nachenji
Tapatanisha bei baada yahapo mnunuzi atanipatia pesa kiasi ili nikalipe bank ili wanipe hati yanguBangi bana. Kama una uwezo wa kuuza nyumba uza ufanye hiyo biashara.
Na kumbuka hati ya nyumba itakuwa bank utauzaje nyumba bila hati?
Jitoe ufahamu tu.Tapatanisha bei baada yahapo mnunuzi atanipatia pesa kiasi ili nikalipe bank ili wanipe hati yangu
Tapatanisha bei baada yahapo mnunuzi atanipatia pesa kiasi ili nikalipe bank ili wanipe hati yangu
Sasa si uuze nyumba tu kuliko kukopa bankSiwezi kushindwa Kulipa, vilevile endapo kama nitashindwa kulipa basi hiyo nyumba nitaiuza mwenyewe niwamalizie deni lao nibaki nachenji
Access wapoje mkuu? Ila nasikia juu juu kuwa hao jamaa wanajua sana kudai, wanaweza timba kwako hata mara nne kwa siku.Kopa bank zote sio Access Bank mkuu narudia sio Access Bank
kwann mkuuKopa bank zote sio Access Bank mkuu narudia sio Access Bank
Hahahaha wabongo bana!Bangi bana. Kama una uwezo wa kuuza nyumba uza ufanye hiyo biashara.
Na kumbuka hati ya nyumba itakuwa bank utauzaje nyumba bila hati?
NMB wanatoa mkopo ndani ya Siku 7 za kazi Bila shida yoyote.Wazoefu wamikopo yamabank nahitaji uzoefu wenu.
Nibank gani naweza pata mkopo wabiashara wakuanzia Milion 5 mpaka milioni 8 kwadhamana yanyumba?
Unatafuta kuliaTapatanisha bei baada yahapo mnunuzi atanipatia pesa kiasi ili nikalipe bank ili wanipe hati yangu
Wazoefu wamikopo yamabank nahitaji uzoefu wenu.
Nibank gani naweza pata mkopo wabiashara wakuanzia Milion 5 mpaka milioni 8 kwadhamana yanyumba?