Inatia uchungu sanaInahuzunisha na kuchekesha
Kuna sehemu Ulaya kuna nyumba zao za asiri Acha kua extremist mkuu.
Kuna sehemu Ulaya kuna nyumba zao za asiri Acha kua extremist mkuu.
Kwamba hizo nyumba zao ndio zina ujumbe wa huyu jamaa?Kuna sehemu Ulaya kuna nyumba zao za asiri Acha kua extremist mkuu.
Mkuu Acha personal attack rudi kwenye hoja yako, Ulaya pia kuna masikini na nyumba mbovu na kuna maghorofa pia tetea hoja yako kwa kufafanua zaidi kuliko fanya personal character assassinationHuyu covax anajulikana kuwa mmoja ya watu wabovu wa fikra Humu JF, nadhani unamfahamuu. MPUUZE
Nakubaliana na wewe personal attacks hazisogezi mbele maongezi. Lakini jibu lako lingekuwa na mshiko kama ungetoa hapa picha ya nyumba imara na nzuri za Africa za miaka 2000 iliyopita zinazoweza kushindana na hizo za Roma ya wakati huo. Usiagaike, hazipo.Mkuu Acha personal attack rudi kwenye hoja yako, Ulaya pia kuna masikini na nyumba mbovu na kuna maghorofa pia tetea hoja yako kwa kufafanua zaidi kuliko fanya personal character assassination
Hauwezi kuelewa kina cha hui post kama akili yako ina ulemavu wa Italia mlo wa yemen
,😂😂😂😂😂 aiseee someni achenu kuchukua historia til tokMbona huzungumzii waafrika waliojenga haya miaka 4500 iliyopita? Historia ya kwenye meme ni sumu.
View attachment 3509499
We si ndiyo umeleta historia ya kwenye meme😁,😂😂😂😂😂 aiseee someni achenu kuchukua historia til tok
uwiano wa vijiji na miji kwa Ulaya ni sw na Afrika ? au niseme uwiano wa mejengo mabaya vs mazur kwa Ulaya na Afrika unafanana ?Mkuu Acha personal attack rudi kwenye hoja yako, Ulaya pia kuna masikini na nyumba mbovu na kuna maghorofa pia tetea hoja yako kwa kufafanua zaidi kuliko fanya personal character assassination