Wazungu hawapendi wanawake wenye makalio makubwa. Haya mambo yako huku kwetu Afrika tu

Acha uzwazwa na ushamba na umbea wa kuambiwa. Nenda Ulaya au Amerika ya Kaskazini uone mimama minene na mirefu tena yenye kuzaa kama sungura. Kama hujaishi huko utaweka utopolo wako na kujiridhisha. Hata msemo English figure ni wa washamba ambao hawajawahi kukunyaga ulaya waone wazungu walivyo na miili mibaya.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…