mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
💯Wanaume mnataniana vipi vitu vya hivi 🤦🤦.....
Pole kwa vijana wa kiume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯Wanaume mnataniana vipi vitu vya hivi 🤦🤦.....
Pole kwa vijana wa kiume
dah! nimecheka kichizispecify ni wazungu gani kwasababu wapo wa mataifa mengi
ninavyojua wazungu wa kule marekani hawana hizo pigo, tena wanafantasize kuwa nao
wanakuambia "take a dip in the chocolate factory"
Mimi namtafuta BICHWA KOMWE - Kapotea sana siku hizi.Wewe sasa hivi utaingizwa kwenye kundi la watu ambao watakua wanapata tag
Mkuu mbona una nitag tena kwani nimefanyaje mimi
Mambo gani mkuuView attachment 3193465
Mkuu nipo kukurudisha njia ya haki huoni ulifanya hayo mambo joto linakuwa Kali jijini.
Wee tafuta matatizo mjini hapa 😄😄😄
Acha uzwazwa na ushamba na umbea wa kuambiwa. Nenda Ulaya au Amerika ya Kaskazini uone mimama minene na mirefu tena yenye kuzaa kama sungura. Kama hujaishi huko utaweka utopolo wako na kujiridhisha. Hata msemo English figure ni wa washamba ambao hawajawahi kukunyaga ulaya waone wazungu walivyo na miili mibaya.Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.
Ktk story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio?
Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiona hayo mamimatako yao ingawa mengi yamejaa magonjwa ya dhinaa.
Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na makali makubwa wao wanamchukulia kama mlemavu.
Hili suala limenishangaza kidogo.
Huku kwetu Africa baadhi wanawake wanaenda Turkey kufanyiwa surgery za kuongeza wezere kumbe huko duniani wenzetu wanauchukulia kama ulemavu?
Mnasapotiana na kikongwe wako wa JF hahahaa LOL 🤣🤣🤣🤣💯
Hivi Kuna uhusiano gani wa vitako vyako vya mviringo na mishindo mitamu😬Mambo gani mkuu
.jamani watu huyu jamaa mbona simwelew mimi nimefanya nn sasa alafu mimi sio mti wa hivo
Mkuu acha maneno yako..Hivi Kuna uhusiano gani wa vitako vyako vya mviringo na mishindo mitamu😬
Kwa Yale maelezo yamekaa katika mkao wa expression of feeling sio matamanio.
Acha hzo njia mbaya mrudie Muumba.
Huwezi kuwa smart ukajadili matakoThey are very smart
Vitako vyako mwamba anavielewaVishu Mtata acha kuchekelea ujinga huko.juu