Wazungu hawapendi wanawake wenye makalio makubwa. Haya mambo yako huku kwetu Afrika tu

Wazungu hawapendi wanawake wenye makalio makubwa. Haya mambo yako huku kwetu Afrika tu

Mkuu mbona una nitag tena kwani nimefanyaje mimi
Screenshot_20250105-205105.png


Mkuu nipo kukurudisha njia ya haki huoni ulifanya hayo mambo joto linakuwa Kali jijini.
 
Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.

Ktk story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio?

Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiona hayo mamimatako yao ingawa mengi yamejaa magonjwa ya dhinaa.

Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na makali makubwa wao wanamchukulia kama mlemavu.


Hili suala limenishangaza kidogo.

Huku kwetu Africa baadhi wanawake wanaenda Turkey kufanyiwa surgery za kuongeza wezere kumbe huko duniani wenzetu wanauchukulia kama ulemavu?
Acha uzwazwa na ushamba na umbea wa kuambiwa. Nenda Ulaya au Amerika ya Kaskazini uone mimama minene na mirefu tena yenye kuzaa kama sungura. Kama hujaishi huko utaweka utopolo wako na kujiridhisha. Hata msemo English figure ni wa washamba ambao hawajawahi kukunyaga ulaya waone wazungu walivyo na miili mibaya.
1736099545049.png

1736099598306.png

1736099712155.png
 
Back
Top Bottom