Wazungu ndo race yenye stress zaidi duniani

Wazungu ndo race yenye stress zaidi duniani

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Hawa jamaa historia inawahukumu sana, 60% ya wazungu wote wana depression ambayo imekuwa affected na historia ya hio race.

History ya slave trade imeeathiri sana akili za current generation ya wazungu.

Uzuri wazungu sio wanafiki ulaya yote mashuleni wanasoma history yenye slave trade ndani yake


Wanapunguza stress kwa kufanya tourism nchi mbalimbali duniani

Vijana hawako interested kwenye sports and games mfano ukiangalia mpira wa miguu riadha masumbwi rugby unakuja kutawaliwa na WA Africa.

Kiwango cha kuzaliana kipo chini hawaamini Mungu, mambo ya innovation na science wamewaachia wachina n.k yan wapowapo tu.
 
hawa jamaa historia inawahukumu sana 60% ya wazungu wote wana depression.ambayo imekua affected na historia ya hio race

history ya slave trade imeeathiri sana akili za current generation ya wazungu.

uzuri wazungu sio wanafiki ulaya yote mashuleni wanasoma history yenye slave trade ndani yake


wanapunguza stress kwa kufanya tourism nchi mbalimbali.dunian

vijana hawako interested kwenye sports and games mfano ukiangalia mpira wa miguu riadha masumbwi rugby unakuja kutawaliwa na WA Africa.

kiwango cha kuzaliana kipo chini hawaamini Mungu , mambo ya innovation na science wamewaachia wachina n.k yan wapowapo tu.
Chai
 
stress tena sana
antidepresants.jpg
 
Back
Top Bottom