hawa jamaa historia inawahukumu sana 60% ya wazungu wote wana depression.ambayo imekua affected na historia ya hio race
history ya slave trade imeeathiri sana akili za current generation ya wazungu.
uzuri wazungu sio wanafiki ulaya yote mashuleni wanasoma history yenye slave trade ndani yake
wanapunguza stress kwa kufanya tourism nchi mbalimbali.dunian
vijana hawako interested kwenye sports and games mfano ukiangalia mpira wa miguu riadha masumbwi rugby unakuja kutawaliwa na WA Africa.
kiwango cha kuzaliana kipo chini hawaamini Mungu , mambo ya innovation na science wamewaachia wachina n.k yan wapowapo tu.