Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Sterling hajaimprove au yeye ni white siyo black?
Kwa hoja yako kuhusu ARSENAL na PEPE.... vp MESSI wa ARGENTINA.. Barca unawashauri nn?
Mbona Messi kashindwa kufunga goli la maana tofauti na penalti aliyopewa apige kwenye Copa America kwa hiyo tuasume ni mbovu?Timu tu inambeba yule nje yapale hana tofauti na Walcott. Kamaliza world cup hata goli moja limemshinda huku akiongoza kukosa nafasi za wazi mashindano mazima
Duuh tutake radhi mkuu, sisi mashabik wa man utdManchester United ni team iliyojaa matahira wengi mno kila mtu pale ni mwehu mpka mashabiki.
Hapo kwa arsenal umechemka kwani ulishasema kuwa jamaa hashine afrika ina maana unakubali kuwa maeneo mengine anashine,sasa kwani arsenal ipo afrika?hivyo usiwe na wasiwasi kijana jamaa atashine tu kwa sababu arsenal haipo afrika,Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
hiyo nchi ya juventus iko ulaya au wapi?,na huyo pogba ndio rais wa hiyo nchi auKipi nisichokijua mkuu?
Hapo kwa arsenal umechemka kwani ulishasema kuwa jamaa hashine afrika ina maana unakubali kuwa maeneo mengine anashine,sasa kwani arsenal ipo afrika?hivyo usiwe na wasiwasi kijana jamaa atashine tu kwa sababu arsenal haipo afrika,
Maswali ya kuongeza, vipi mo sarah ,zaha, mane walishine sana kule AFCON eti eeeehhhh?
hiyo nchi ya juventus iko ulaya au wapi?,na huyo pogba ndio rais wa hiyo nchi au
Nitajie nani alizaliwa world class players ?ulijua leo hii kama salah,mane watakuwa world class????????acha hizo mpira haupo hivyoMkuu mashabiki wa Arsenal mnakua mupo kimuhemko sana. Mchezaji kama Pepe hawezi kubadilisha mazingira ya timu ya Arsenal kabisa. Arsenal wanahitaji world class players ili kuweza kuwatoa pale walipo kuwasogeza mbele.
Nitajie nani alizaliwa world class players ?ulijua leo hii kama salah,mane watakuwa world class????????acha hizo mpira haupo hivyo