Wazungu ni mataahira

Wazungu ni mataahira

Kwa hoja yako kuhusu ARSENAL na PEPE.... vp MESSI wa ARGENTINA.. Barca unawashauri nn?
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
 
Sterling hajaimprove au yeye ni white siyo black?

Timu tu inambeba yule nje yapale hana tofauti na Walcott. Kamaliza world cup hata goli moja limemshinda huku akiongoza kukosa nafasi za wazi mashindano mazima
 
Kwa hoja yako kuhusu ARSENAL na PEPE.... vp MESSI wa ARGENTINA.. Barca unawashauri nn?

Messi ni proven world class player. Pepe ni grade c player ambaye best achievement yake mpaka sasa ni kufunga 20 goals kwenye french league.
 
Timu tu inambeba yule nje yapale hana tofauti na Walcott. Kamaliza world cup hata goli moja limemshinda huku akiongoza kukosa nafasi za wazi mashindano mazima
Mbona Messi kashindwa kufunga goli la maana tofauti na penalti aliyopewa apige kwenye Copa America kwa hiyo tuasume ni mbovu?
 
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?

Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!

Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!

Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????
Hapo kwa arsenal umechemka kwani ulishasema kuwa jamaa hashine afrika ina maana unakubali kuwa maeneo mengine anashine,sasa kwani arsenal ipo afrika?hivyo usiwe na wasiwasi kijana jamaa atashine tu kwa sababu arsenal haipo afrika,

Maswali ya kuongeza, vipi mo sarah ,zaha, mane walishine sana kule AFCON eti eeeehhhh?
 
Mkuu mashabiki wa Arsenal mnakua mupo kimuhemko sana. Mchezaji kama Pepe hawezi kubadilisha mazingira ya timu ya Arsenal kabisa. Arsenal wanahitaji world class players ili kuweza kuwatoa pale walipo kuwasogeza mbele.
 
Tukubaliane kitu kimoja,Lukaku wa Ubelgiji sio wa manyumbu united

Conte/Sarri wanaamini katika Lukaku wa Ubelgiji,ndo wanamhitaji kisawa sawa
 
Mkuu mashabiki wa Arsenal mnakua mupo kimuhemko sana. Mchezaji kama Pepe hawezi kubadilisha mazingira ya timu ya Arsenal kabisa. Arsenal wanahitaji world class players ili kuweza kuwatoa pale walipo kuwasogeza mbele.
Nitajie nani alizaliwa world class players ?ulijua leo hii kama salah,mane watakuwa world class????????acha hizo mpira haupo hivyo
 
Lete majibu ya Pepe Mkuu, 80 millions vipi ni stahiki yake?
 
Back
Top Bottom