Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Kwa hoja yako kuhusu ARSENAL na PEPE.... vp MESSI wa ARGENTINA.. Barca unawashauri nn?
Hivi inakuaje Juventus ati wao ndio wanawaomba Man Utd wabadilishane Dybala kwa Lukaku?
Hivi inakuaje Man UTD wanagoma kumuuza Pogba kwa madau wanayapewa? Wamekataa mpaka deal yakubadilisha kwa Dybala + Costa !!!!!!!!!!
Rashford amefunga mkataba mpya anakula 300 kwa wiki hata goli 10 kwa msimu hfikishi !!!!!!!!!!
Arsenal wanalipa 80m kwa mtu ambaye hata Afrika cup anashindwa kung'ara????