Wazungu waanza kuambiana ukweli

Wazungu waanza kuambiana ukweli

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Infantino: "Today I feel Qatari, I feel Arab, I feel African, I feel gay, I feel disabled, I feel a migrant worker.... For what we Europeans have been doing around the world in the last 3,000 years we should be apologising for the next 3,000 years before starting to give moral lessons"
 
Naomba nieleweshwe tafadhali
#MICHEZO Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia.

Infantino amesema kuwa,“Kama pombe ndilo suala kubwa tulilonalo kwa Kombe la Dunia basi nitajiuzulu mara moja na kwenda ufukweni kupumzika."

"Usipokunywa bia kwa masaa mawili matatu, bado unaweza kuishi, kwa sababu utaratibu huu pia upo hata kwenye nchi za Ulaya, ukienda Ufaransa, Ureno hata Uswisi sheria hizi zipo.Hapa imekuwa jambo kubwa sijui ni kwanini au ni kwa kuwa sababu ni nchi ya Kiislamu."

#WorldCupQatar #

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Infantino: "Today I feel Qatari, I feel Arab, I feel African, I feel gay, I feel disabled, I feel a migrant worker.... For what we Europeans have been doing around the world in the last 3,000 years we should be apologising for the next 3,000 years before starting to give moral lessons"
He feels gay but he is OK with his fellow gays being banished from Qatar?

What kind of gay swagger jacking is this?
 
Mambo mengine yanashangaza kweli aisee , kule Qatar watu wameenda kucheza Mpira , lakini wanashadadia pombe kama wameenda kule kunywa pombe na kufanya ufirauni mwingine , kana kwamba pombe na ufirauni ndio vimewapeleka kule , wamesahau kua Mpira ndio umewapeleka kule
 
Kiingereza nakijua vizuri, lakini sielewi mnachoandika hap, why? Hasa hapo kwemye ‘swagger jacking’
Swagger jacking ni kitendo cha mtu kuiba swagger ya mtu mwingine. A special sort of "culture appropriation".

Yani, mtu si gay, ameshiriki katika kuhakikisha gays wamefunikwa huko Qatar.

Halafu anakuja bila aibu anajifanya amesimama na ushirikiano na gays anajiona na yeye kama gay.

Ameyatumia maumivu ya gays kutengwa kwa faida yake ya kisiasa, kibaya zaidi, na yeye kashiriki katika kuwakandamiza hao gays wafunikwe kama wakoma huko Qatar.

Yani hata kama mtu hukubaliani na gays, unatakiwa uone kwamba huyu jamaa ana hadaa ya hali ya juu.

Bora asingewataja tu hao gays akasema tu mambo kivyakevyake.

Yani haiwezekani yeye mtu mmoja awe kiongozi wa FIFA iliyokubali gays wapigwe marufuku World Cup, halafu hapo hapo anajidai kusimama pamoja na gays.

It is sheer hypocrisy.
 
Infantino: "Today I feel Qatari, I feel Arab, I feel African, I feel gay, I feel disabled, I feel a migrant worker.... For what we Europeans have been doing around the world in the last 3,000 years we should be apologising for the next 3,000 years before starting to give moral lessons"
Don't get deceived.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mambo mengine yanashangaza kweli aisee , kule Qatar watu wameenda kucheza Mpira , lakini wanashadadia pombe kama wameenda kule kunywa pombe na kufanya ufirauni mwingine , kana kwamba pombe na ufirauni ndio vimewapeleka kule , wamesahau kua Mpira ndio umewapeleka kule
Tatizo pombe na ufirauni unavyouchukulia wewe si kila mtu anachukulia hivyo.

Kwa sababu haya ni mambo ya tamaduni tofauti kuchukulia mambo tofauti.

Inawezekana utamaduni mmoja ukaona pombe ni kitu haram, wakati utamaduni mwingine ukaona kabla ya shughuli yoyote muhimu ni lazima lifanyike tambiko la pombe.

Sasa, katika jambo linalokutanisha tamaduni nyingi za dunia, kujua jinsi ya kwenda hapo ni changamoto.

Pia, huo unaouita ufirauni, kwa wengine ni haki ya kibinadamu tu, ni sawa na wewe unavyoona una haki ya kwenda uwanjani na familia yako halafu mtu akukataze akuambie huo ni ufirauni. Ni masuala ya tamaduni tofauti.
 
Tatizo pombe nanufirauni unavyouchukulia wewe si kila mtu anachukukia hivyo.

Kwa sababu haya ni mambo ya tamaduni tofauti kuchukulia mambo tofauti.

Inawezekana utamaduni mmoja ukaona pombe ni kitu haram, wakati utamaduni mwingine ukaona kabla ya shughuli yoyote muhimu ninkazima lifanyike tambiko la pombe.

Sasa, katika jambo linalokutanisha tamaduni nyingi za dunia, kujua jinsi ya kwenda hapi ni changamoto.

Pia, huo unaouita ufirauni, kwa wengine ni haki ya kibinadamu tu, ni sawa na wewe unavyoona una haki ya kwenda uwanjani na familia yako halafu mtu akukataze akuambie huo ni ufirauni. Ni masuala ya tamaduni tofauti.
Hapo ni kwa watu unajua madhara yake? wako kweny ardhi yako kuruhusu ustaarabu mwingine ni kuhalalisha kusambaa kwa ustaarabu wao ni rahisi sana ndani ya mwezi mmoja .

Kuwa makini katika kutunza tamaduni zako watu wanakuja na kuondoka ila athari zinabaki milele..

Kitu ni simple tu fuata taratibu then utaondoka ..
 
Kama sehemu Kuna ustaarabu wao basi vumilieni mda kadhaa then mtakunywa mpaka kuogelea
Tatizo Quatar walishakubali dili la sponsor Budweiser, tena deal nono la US dollar milioni 75. Wakabadilisha kibao dakika ya mwisho kimabavu.

Budweiser washakamilisha kila kitu, mpaka bia zimefika kwenye mabohari nchini Qatar. Halafu Qatar wakageuza kibao wiki ya mwisho. Wamefanya uhuni sana.

Yani wamefanya mambo very unprofessional.

Ni kama vile walikubali bia zitauzwa ili wapate kukubalika ku host kombe la dunia, halafu walivyopata nafasi hiyo, wakasubiri mpaka wiki ya mwisho kusema hawatakubali kuuza bia viwanjani.

Wamefanya hadaa ya kihuni sana katika deal lenye mikataba ya kimataifa ma Budweiser.

Mimi nasubiri kuona kama kutakuwa na matangazo ya bia viwanjani au mpaka matangazo watayapiga marufuku.
 
Tatizo Quatar walishakubali dili la sponsor Budweiser, tena deal nono la US dollar milioni 75. Wakabadilisha kibao dakika ya mwisho kimabavu.

Budweiser eashakamilisha kila kitu, mpaka bia zimefika kwenye mabohari nchini Qatar. Halafu Qatar wakageuza kibao wiki ya mwisho. Wamefanya uhuni sana.

😂😂Ngoja tusubiri ila unaweza kuona Wana msimamo kiasi fulani ,huwezi tambua nn kinawapa jeuri sisi kibongobongo hatuna jeuri hiyo.
 
Hapo ni kwa watu unajua madhara yake? wako kweny ardhi yako kuruhusu ustaarabu mwingine ni kuhalalisha kusambaa kwa ustaarabu wao ni rahisi sana ndani ya mwezi mmoja .

Kuwa makini katika kutunza tamaduni zako watu wanakuja na kuondoka ila athari zinabaki milele..

Kitu ni simple tu fuata taratibu then utaondoka ..
Mkuu,

Hata huo mchezo wa soccer si utamaduni wa Waarabu.

Huo ni mchezo uliotokea Uingereza.

Sasa, huoni kwamba hata huo mchezo kwenda kufanya World Cup Qatar ni kuruhusu kusambaa kwa ustaarabu wa Muingereza Qatar?

Kwani Waarabu hawana michezo yao?

Kwa nini wanaruhusu michezo ya Waingereza Qatar iende kusambaza utamaduni wa Waingereza?
 
Hapo ni kwa watu unajua madhara yake? wako kweny ardhi yako kuruhusu ustaarabu mwingine ni kuhalalisha kusambaa kwa ustaarabu wao ni rahisi sana ndani ya mwezi mmoja .

Kuwa makini katika kutunza tamaduni zako watu wanakuja na kuondoka ila athari zinabaki milele..

Kitu ni simple tu fuata taratibu then utaondoka ..
Hao takataka wanaharibu sana tamaduni za watu.

Walitakiwa waachwe wajipeleke na ufirauni wao wakikutwa Huko wakatwe hizo shingo zao zisieleweka kama ni za kiume au za kike.

Huu utamaduni wa wazungu ni mbaya sana na kibaya zaidi wanatumia gharama kubwa na nguvu kubwa kuueneza.
Watu wema wasipokuwa makini waovu ndio wanaotaka kushika hatamu ya kila kitu huku wakitumia fedha kurubuni watawala na mashirika ya kutetea haki za shetani kuishi na wanadamu.

Hawapaswi TU kutengwa Bali hata kuomndolewa harakaharaka kabla ya hawajakimaliza kizazi cha kesho. Watu wote wakiwa mashoga na wasagaji kama wanavyotaka Dunia itakwenda wapi ? Yani wazazi wao wangekua mashoga wao wangetoka wapi?

Hawa mashoga ni watu wasio na huruma Wala mipango ya Kesho ya Dunia mana wanatamani watu wote wawe mashoga na wasagaji kama wao ili Dunia ifikie mwisho ibaki na wanyama TU binadamu atoweke Duniani. Sasa kuwahurumia watu kama Hawa ni kumhurumia shetani.
Hawa dawa yao ni Moja TU kupigwa vita kubwa sana kila mahali .
 
Tatizo Quatar walishakubali dili la sponsor Budweiser, tena deal nono la US dollar milioni 75. Wakabadilisha kibao dakika ya mwisho kimabavu.

Budweiser eashakamilisha kila kitu, mpaka bia zimefika kwenye mabohari nchini Qatar. Halafu Qatar wakageuza kibao wiki ya mwisho. Wamefanya uhuni sana.

Yani wamefanya mambo very unprofessional.

Ni kama vile walikubali bia zitauzwa ili wapate kukubalika ku host kombe la dunia, halafu walivyopata nafasi hiyo, wakasubiri mpaka wiki ya mwisho kusema hawatakubali kuuza bia viwanjani.

Wamefanya hadaa ya kihuni sana katika deal lenye mikataba ya kimataifa ma Budweiser.

Mimi nasubiri kuona kama kutakuwa na matangazo ya bia viwanjani au mpaka matangazo watayapiga marufuku.
Hujaelewa wewe yaan pombe sio ruhusa viwanjani tu ila kuna sehem maalum ni ruksa kuidinya utakavyo
 
Back
Top Bottom