#MICHEZO Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amezungumza na waandishi wa habari huko Qatar kuhusiana na malalamiko ya kutokuwepo kwa pombe viwanjani kwenye michuano ya Kombe la Dunia.Naomba nieleweshwe tafadhali
Kwasababu wewe unafikiria ule mchezo wa kizungu unaowakilishwa na zile Rangi za upinde wa Mvua unaufanya weweKaongea utumbo
He feels gay but he is OK with his fellow gays being banished from Qatar?Infantino: "Today I feel Qatari, I feel Arab, I feel African, I feel gay, I feel disabled, I feel a migrant worker.... For what we Europeans have been doing around the world in the last 3,000 years we should be apologising for the next 3,000 years before starting to give moral lessons"
Kiingereza nakijua vizuri, lakini sielewi mnachoandika hap, why? Hasa hapo kwemye ‘swagger jacking’He feels gay but he is OK with his fellow gays being banished from Qatar?
What kind of gay swagger jacking is this?
Swagger jacking ni kitendo cha mtu kuiba swagger ya mtu mwingine. A special sort of "culture appropriation".Kiingereza nakijua vizuri, lakini sielewi mnachoandika hap, why? Hasa hapo kwemye ‘swagger jacking’
Don't get deceived.Infantino: "Today I feel Qatari, I feel Arab, I feel African, I feel gay, I feel disabled, I feel a migrant worker.... For what we Europeans have been doing around the world in the last 3,000 years we should be apologising for the next 3,000 years before starting to give moral lessons"
Tatizo pombe na ufirauni unavyouchukulia wewe si kila mtu anachukulia hivyo.Mambo mengine yanashangaza kweli aisee , kule Qatar watu wameenda kucheza Mpira , lakini wanashadadia pombe kama wameenda kule kunywa pombe na kufanya ufirauni mwingine , kana kwamba pombe na ufirauni ndio vimewapeleka kule , wamesahau kua Mpira ndio umewapeleka kule
Hapo ni kwa watu unajua madhara yake? wako kweny ardhi yako kuruhusu ustaarabu mwingine ni kuhalalisha kusambaa kwa ustaarabu wao ni rahisi sana ndani ya mwezi mmoja .Tatizo pombe nanufirauni unavyouchukulia wewe si kila mtu anachukukia hivyo.
Kwa sababu haya ni mambo ya tamaduni tofauti kuchukulia mambo tofauti.
Inawezekana utamaduni mmoja ukaona pombe ni kitu haram, wakati utamaduni mwingine ukaona kabla ya shughuli yoyote muhimu ninkazima lifanyike tambiko la pombe.
Sasa, katika jambo linalokutanisha tamaduni nyingi za dunia, kujua jinsi ya kwenda hapi ni changamoto.
Pia, huo unaouita ufirauni, kwa wengine ni haki ya kibinadamu tu, ni sawa na wewe unavyoona una haki ya kwenda uwanjani na familia yako halafu mtu akukataze akuambie huo ni ufirauni. Ni masuala ya tamaduni tofauti.
Tatizo Quatar walishakubali dili la sponsor Budweiser, tena deal nono la US dollar milioni 75. Wakabadilisha kibao dakika ya mwisho kimabavu.Kama sehemu Kuna ustaarabu wao basi vumilieni mda kadhaa then mtakunywa mpaka kuogelea
😂😂Ngoja tusubiri ila unaweza kuona Wana msimamo kiasi fulani ,huwezi tambua nn kinawapa jeuri sisi kibongobongo hatuna jeuri hiyo.Tatizo Quatar walishakubali dili la sponsor Budweiser, tena deal nono la US dollar milioni 75. Wakabadilisha kibao dakika ya mwisho kimabavu.
Budweiser eashakamilisha kila kitu, mpaka bia zimefika kwenye mabohari nchini Qatar. Halafu Qatar wakageuza kibao wiki ya mwisho. Wamefanya uhuni sana.
Yani wamefanya mambo very unprofessional.
Ni kama vile walikubali bia zitauzwa ili wapate kukubalika ku host kombe la dunia, halafu walivyopata nafasi hiyo, wakasubiri mpaka wiki ya mwisho kusema hawatakubali kuuza bia viwanjani.
Wamefanya hadaa ya kihuni sana katika deal lenye mikataba ya kimataifa ma Budweiser.
Mimi nasubiri kuona kama kutakuwa na matangazo ya bia viwanjani au mpaka matangazo watayapiga marufuku.
Mkuu,Hapo ni kwa watu unajua madhara yake? wako kweny ardhi yako kuruhusu ustaarabu mwingine ni kuhalalisha kusambaa kwa ustaarabu wao ni rahisi sana ndani ya mwezi mmoja .
Kuwa makini katika kutunza tamaduni zako watu wanakuja na kuondoka ila athari zinabaki milele..
Kitu ni simple tu fuata taratibu then utaondoka ..
Hao takataka wanaharibu sana tamaduni za watu.Hapo ni kwa watu unajua madhara yake? wako kweny ardhi yako kuruhusu ustaarabu mwingine ni kuhalalisha kusambaa kwa ustaarabu wao ni rahisi sana ndani ya mwezi mmoja .
Kuwa makini katika kutunza tamaduni zako watu wanakuja na kuondoka ila athari zinabaki milele..
Kitu ni simple tu fuata taratibu then utaondoka ..
Hujaelewa wewe yaan pombe sio ruhusa viwanjani tu ila kuna sehem maalum ni ruksa kuidinya utakavyoTatizo Quatar walishakubali dili la sponsor Budweiser, tena deal nono la US dollar milioni 75. Wakabadilisha kibao dakika ya mwisho kimabavu.
Budweiser eashakamilisha kila kitu, mpaka bia zimefika kwenye mabohari nchini Qatar. Halafu Qatar wakageuza kibao wiki ya mwisho. Wamefanya uhuni sana.
Yani wamefanya mambo very unprofessional.
Ni kama vile walikubali bia zitauzwa ili wapate kukubalika ku host kombe la dunia, halafu walivyopata nafasi hiyo, wakasubiri mpaka wiki ya mwisho kusema hawatakubali kuuza bia viwanjani.
Wamefanya hadaa ya kihuni sana katika deal lenye mikataba ya kimataifa ma Budweiser.
Mimi nasubiri kuona kama kutakuwa na matangazo ya bia viwanjani au mpaka matangazo watayapiga marufuku.