Kwenye swala la vipaji kuvunja rekodi basi waafrika tuna vipaji vya kuzaliwa na nguvu sana.
Nifahamishe kakaKaka, kwa kiingereza huitwa, psychological torture. Namaanisha Vita tulipigana zamani sana walituteka na kutuaminisha sisi ni inferior, ungejua historia halisi ya Mwafrika nadhani ungeona umekosea sana hii post.
Waliobuni maandishi, madawa kusoma ni sisi ila kuna uzi tumefumbwa kuhusu sisi hasa ni nani kwa historia zilizofichwa gizani.
Ndugu yang waswahili tunasema "mla mla leo, mla jana kala nini" hiyo uliyosema ni historia tu hakuna aliekuwepo, lkn jamaa mwenye uzi kaja na fact za majina ya watu ambao wamefanya mambo tulio yaona au tunayoendelea kuyaona. Angalizo... I'm not hating Africans cause i'm also African, but here we need the facts.Kaka, kwa kiingereza huitwa, psychological torture. Namaanisha Vita tulipigana zamani sana walituteka na kutuaminisha sisi ni inferior, ungejua historia halisi ya Mwafrika nadhani ungeona umekosea sana hii post.
Waliobuni maandishi, madawa kusoma ni sisi ila kuna uzi tumefumbwa kuhusu sisi hasa ni nani kwa historia zilizofichwa gizani.
Ndo maana yake kakaWapo kama wote yani ukitaja hutomaliza
Mkuu hiki ulichoandika unamaanisha au unatania ?Kaka, kwa kiingereza huitwa, psychological torture. Namaanisha Vita tulipigana zamani sana walituteka na kutuaminisha sisi ni inferior, ungejua historia halisi ya Mwafrika nadhani ungeona umekosea sana hii post.
Waliobuni maandishi, madawa kusoma ni sisi ila kuna uzi tumefumbwa kuhusu sisi hasa ni nani kwa historia zilizofichwa gizani.
Ni kweli. Ukipiga bomu kwenye mind na self identity umemaliza kazi. Ndicho kilichofanyika.Kaka, kwa kiingereza huitwa, psychological torture. Namaanisha Vita tulipigana zamani sana walituteka na kutuaminisha sisi ni inferior, ungejua historia halisi ya Mwafrika nadhani ungeona umekosea sana hii post.
Waliobuni maandishi, madawa kusoma ni sisi ila kuna uzi tumefumbwa kuhusu sisi hasa ni nani kwa historia zilizofichwa gizani.
Kumbisalehe kwa elimu uliyotoa mkuu hapa unahitaji ulipwe, sema kama mtu hachanji hawezi elewa yyaaaniNi kweli. Ukipiga bomu kwenye mind na self identity umemaliza kazi. Ndicho kilichofanyika.
Walifanikiwa kufanya mtu mweusi ajione almost sio binadamu, ni second grade citizen, hana uwezo hasa wa kiakili, ni tegemezi na hawezi. Ikaingia kwenye mind ya mwafrika. Madhara yake ni down generations.
on the contrary, wakajiweka kwenye nafasi ya kuwa kila kitu chao ndio bora na watu wengine wote wajifunze au waige vya kwao. Ndio sababu unaona mweusi anajichubua awe mweupe, anaona fahari akijua lugha zao au kusoma vyuo huko kwao, anaona fahari akitembelea ulaya, anaona fahari akiwa na tamaduni zao n.k.
ukitaka kujua hilo, fuatilia uhusiano wa congo na Ufaransa.
Ndo nilichomwambia , facts haziwi replaced na hearsay au porojo, im Afican too , mweusi haswaa! Ila idea kwamba sisi ni superior naikataa , labda tuifanyie kazi positively.Ndugu yang waswahili tunasema "mla mla leo, mla jana kala nini" hiyo uliyosema ni historia tu hakuna aliekuwepo, lkn jamaa mwenye uzi kaja na fact za majina ya watu ambao wamefanya mambo tulio yaona au tunayoendelea kuyaona. Angalizo... I'm not hating Africans cause i'm also African, but here we need the facts.
Kaka kwa nini sisi hatukuwapiga ao watu weupe ilo bomu.Ni kweli. Ukipiga bomu kwenye mind na self identity umemaliza kazi. Ndicho kilichofanyika.
Walifanikiwa kufanya mtu mweusi ajione almost sio binadamu, ni second grade citizen, hana uwezo hasa wa kiakili, ni tegemezi na hawezi. Ikaingia kwenye mind ya mwafrika. Madhara yake ni down generations.
on the contrary, wakajiweka kwenye nafasi ya kuwa kila kitu chao ndio bora na watu wengine wote wajifunze au waige vya kwao. Ndio sababu unaona mweusi anajichubua awe mweupe, anaona fahari akijua lugha zao au kusoma vyuo huko kwao, anaona fahari akitembelea ulaya, anaona fahari akiwa na tamaduni zao n.k.
ukitaka kujua hilo, fuatilia uhusiano wa congo na Ufaransa.
Hoja yako haina tofauti sana kimantiki na kauli wanayoitumia watu wa gender equality , 'Mwanamke akiwezeshwa ,anaweza' in a nutshell kauli hii ni alama ya ushujaa kwa mwanamke , lakini kiundani zaidi , ni kauli inayojieleza kuwa ili mwanamke aweze kumbe , inabidi mwanaume awajibike kumuwezesha kwanza, ni kauli ambayo inamtanabaisha bila kificho kuwa mwanaume ndo shujaa wa kwanza kabla ya mwanamke.Ni kweli. Ukipiga bomu kwenye mind na self identity umemaliza kazi. Ndicho kilichofanyika.