Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

Ongeza umakini katika nilichokiandika,hakuna sehemu niliyo sema ya kuwa Jobs ni mzungu.

Pili,nimekuonyesha ya kuwa si lazima ujue maana ya kitu ili ukielezee au ukipnge au ukijengee hoja. Nikakutolea mfano wa maji. Nimekwambia mimi sijui maji ni nini,ila nikiyaona nakwambia haya ni maji,hii ni kutokana na kujulukana kwake mpaka ikafikia hatua ya kutokuwa na haja ya mtu kujua au kutaka kujua maana ya maji.

Swali lako nimekujibu,na hapa nasubiri majibu ya maswali yangu. Udikimbie maswali.
Sasa unajuaje Jobs si Mzungu?

Mleta mada kafikiri Jobs ni Mzungu mpaka kamuweka kwenye list ya Wazungu.

Ndipo hapo nakuuliza, unatumia kigezo gani kusema huyu Mzungu na huyu si Mzungu?

Hujajibu kitu cha kueleweka mpaka sasa unarukaruka tu kudai utajua tu.

Utajuaje? Unatumia kigezo gani kujua?
 
Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:

1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page

Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.

1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa soka)
2. Michael Jackson (mfalme wa pop) (music)
3. Michael Jordan (kikapu)
4. Muhammed Ali (ngumi)
5.......

Kwenye suala la vipaji kuvunja rekodi basi Waafrika tuna vipaji vya kuzaliwa na nguvu sana.

Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye vitu hivi?
No 5... jiwe
 
Una kichwa kigumu sana,sasa sijui ni kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri au nilicho kiandika ni kipya kwako.

Hakuna mtu mwenye akili timamu atakaye soma nilicho kiandika akasema nilicho kiandika hakieleweki. Ziada nikaweka na mfano.

Nimekwambia sijui maana ya tamko Mzungu ila nikimuona Mzungu nakwambia huyu Mzungu,kama ilivyo kwenye maji,sijui maana ya tamko Maji,ila nikiyaona maji nakwambia haya maji.

Nilikukanya huko juu,kwamba uulize vya maana tena hasa baada ya kujibiwa maswali yako kwa ufasaha. Hapa unaye ruka ni wewe,yaani umejibiwa lakini unauliza ulicho jibiwa,unatakiwa uwe unasoma hoja ya mtu kisha unatafakari wewe hili huna.

Nini kinafata sasa,nataka ujibu maswali niliyo kuuliza huko nyuma.

Nipo .....
 
Sio kweli tatizo ni Mazingira kuna waafrica Wengi wamegundua vitu wakiwa nchi za Nje ila wakaporwa kwa sababu sio raia wa nchi hizo kwa hio hawana hati miliki, Na kwa Africa ukivumbua kitu Serikali za Africa zinakufunga,kukufilisi au wanakuua, Na majirani,ndugu na marafiki wanakuloga
 
Kama nani
 
Wazungu wajanja wametuwekea Elim ambayo haito tusaidia kitu waafrica ili kutumakiza sababu mtu Hua anasoma akitegenea Elim ndio itamraisishia maisha na kutumia muda mwingi na siku anayo Kuja kuitim anakua ni msomi mwenye kutegemea watu sio msomi mwenye kutegemea
 
Kama ni hivyo kwanini hamuachani na hiyo elimu yao isiyo na msaada muanze kutumia ya kwenu yenye msaada?

Au mitaala yenu yote wazungu waliiba wakatekeza asipatikane hata mwafrika mmoja wa kuikumbuka? [emoji23][emoji23]
 
Hapo hata kifaa anachotumu kimetoka ka mzungu afu bado najiona mjanja si atengeneze chake😁
 
Una kichwa kigumu sana,sasa sijui ni kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri au nilicho kiandika ni kipya kwako.

Hakuna mtu mwenye akili timamu atakaye soma nilicho kiandika akasema nilicho kiandika hakieleweki. Ziada nikaweka na mfano.

Nimekwambia sijui maana ya tamko Mzungu ila nikimuona Mzungu nakwambia huyu Mzungu,kama ilivyo kwenye maji,sijui maana ya tamko Maji,ila nikiyaona maji nakwambia haya maji.

Nilikukanya huko juu,kwamba uulize vya maana tena hasa baada ya kujibiwa maswali yako kwa ufasaha. Hapa unaye ruka ni wewe,yaani umejibiwa lakini unauliza ulicho jibiwa,unatakiwa uwe unasoma hoja ya mtu kisha unatafakari wewe hili huna.

Nini kinafata sasa,nataka ujibu maswali niliyo kuuliza huko nyuma.

Nipo .....
Hujaeleza ukimuona mtu utajuaje ni Mzungu.Utatumia kigezo gani?

Tushaona kuna mtu (mleta mada katika original post) kamuweka Steve Jobs kundi la wazungu, kwa kutojua kwamba Steve Jobs ana asili ya Syria, si Mzungu.

Sasa na wewe ukimuona mtu utajuaje huyu ni Mzungu, si mtu wa Syria?

Hujajibu swali hili.
 
Akili yako sikui inafikiria nini,hujaona nilipotoa mfano wa maji,sijui maana ya maji ila nikiyaona nakwambia haya maji,ndivyo vivyo ilivyo kwa mzungu. Hili swali nalijibu mara ya nne au tano sasa.

Nasubiri majibu ya maswali niliyo kuuliza.
 
Back
Top Bottom