Hujapangiwa cha kuuliza,bali uliza vya maana. Maana yake unapo uliza upuuzi maana yale ni kosa utake kujibiwa.
Kwahiyo tumia akili kuuliza vya maana na vyenye tija.
Ukirudia tena kuuliza upuuzi nitakukanya kwa njia nyingine kali zaidi kuzidi hii ya wewe kudai unapangiwa cha kuuliza.
Swali unaweza kuliona si la maana kwa sababu wewe una uwezo mdogo wa kufikiri, au unapenda assumptions bila uhakiki.
Hapa nimecheka kidogo. Huwezi ukawa muhakiki kisha ukauliza swali kama ulilo uliza wewe.
Hapa nakupa kazi uonyeshe kuwa na maana kwa swali ulilo uliza kisha uonyeshe uwezo wangu mdogo wa kufikiri. Ukishindwa kazi hiyo naifanya kwako,na kwangu ni nyepesi sana.
Naendelea ....
Katika majadiliano ya watu wanaoelewa mjadala, definitions ni kitu cha awali kabisa
Kadhalika taarifu ina mipaka yake na ina namna ya uulizaji. Lakini mara nyingine taarifu huegemea zaidi kwa yule anae toa hiyo maana.
Maana yake wajibu huo unakuwa wa pande mbili. Rejea kitabu kiitwacho "Juhd al Kariha fii tajrid an Nasiha" cha Imaam Suyuti ikiwa ni ufupisho wa kitabu "Nasihat ahlul imaan fii raddi al Mantiq al Yunaan" cha Ibn Taymiyyah.
Bila ya definitions, kuna watu watakubaliana kuhusu mambo wanayopingana na kupingana kuhusu mambo wanayokubaliana, bila kujua.
Hii siyo lazima,sababu mambo mengi sana yanaelezeka pasi na "definitions" yaani kuna mambo hayahitaji "Definitions" ili kuyajengea hoja au kujibu hoja,mathalani maji,jua,kifo na mfano wa haya.
Hapo kwenye list ya wazungu kawekwa Albert Einstein.
Albert Einstein ni Myahudi. Wayahudi walibaguliwa na Wajerumani kwamba si Wazungu.
Wakauawa mamilioni katika Holocaust ya Nazi.
Sasa kubaguliwa kwao na Wajeruamani kuliwafanya wao wasiwe Wayhudi. Hapa kunadhihirisha ujinga wa watu hao,sababu Uyahudi ni Dini na si nasaba wala uzao. Ndiyo maana unaweza kumkuta mtu mweusi Myahudi, au Muhindi Myahudi. Kwahiy Wajerumani hawawezi kuwa hoja sababu waisimamia katika Uongo.
Huyo Albert Einstein kakimbia Ujerumani akaenda kuishi Princeton, New Jersey, Marekani.
Kwa sababu alionekana si mzungu kwa Wajerumani.Wa Nazi to be specific.
Ndiyo maana nikauliza.
Mzungu ni nani na unahakikishaje ni mzungu?
Maana wengine wanaweza kumuhesabu Einstein Mzungu.
Sasa hapa unaonyesha kutokuwa makiji kwako. Ulipaswa kwanza ujue Myahudi ni nani kisha uje kwa mzungu. Ndiyo maana nikasema kuna mambo huwa hayahitaji "definitions" kwa sababu nyingi,kwanza kwa kujulikana kwake mfano leo hii labda uwe wewe ya kuwa hujui kama Uyahudi ni Dini,ila tulio wengi hatuhitaji tena kuambiwa maana ya Uyahudi,sababbu tunajua Uyahudi ni dini. Mfano huu ni sawa tunapo jadili maji,ukauliza swali hivi maji ni nini ?
Mmeweka Myahudi katika list ya wazungu.
Mwingine ataweka Muhindi, mwingine ataweka MMorocco.
Kuna Bibi yangu mmoja nilimtembelea na rafiki zangu Wamarekani weusi, akasema hawa ni Wazungu, mwingine atamuweka Obama Mjaluo katika Wazungu.
Hamja define Mzungu ni nani, mnajadili kitu ambacho hakieleweki ni kipi.
Uyahidi ni dini,unalijua hilo ?
Uhindi ni nasaba fulani,ambayo inajulikana kwa watu. Ndiyo maana hujaona amewekwa Muhindi. Sasa sijui una hakiki vipi mambo,au kuna Muhindi aliye wekwa hapo mpaka muda huu ? Sasa usiwe unatumia dhana katika uhalisia.
Hamja define Mzungu ni nani, mnajadili kitu ambacho hakieleweki ni kipi.
Kwetu hiki kinaeleweka wazi.