Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

Inashangaza mtu mweus kudharau maarifa anayopewa kuhusiana na historia yake badala ya kuyapokea yy anaanza matusi na kejeri, watu kama hawa ndio waliwauza wazee wetu kwa kujiokoa wao, ama waliwasariti ndugu zao weusi sabbu ya tamaa, ukiona mtu anakupinga sana kuhusiana na ukwel wa afrika ya kale bas jua uy mtu si muafrika Original mybe katokea uzao wa wazungu, ama kashikiliwa akili na utumwa wa fikra kupitia dini,elimu uchwara, utandawazi na kiroho pia kafungwa,,,ukwel mchungu , haiwezekan na haitokuja kuwezekana kuitaja Sayans,technology yoyote ile bila kuhusisha afrika ya kale,, unapolisema hili watu wanajua Afrika ilkuwepo misri tu ama kemet, kumbe kulkuwa zaid ya hapo, palkuwepo na kushi empire from ethiopia, nubi empire from sudan, central empire ama the early real israel, na empire zingine za south afrika, kwaiyo tecnolojia zote kongwe zilianzia huku kama vile sayanz ya anga na unajimu,, maana kwamba waliogundua sayar 9 ni waafrika kipind icho mzungu hata kuva pampasi hajui,,sayans ya tiba upasuji,sayansi ya anga yaan usafir wa anga,,ndwge zilikuwako tangu kale, sayansi ya uhandisi wa majengo makubwa,,umeme mkubwa ambao kwa karne za leo haupo na hautowai kuwako,,ugunduz wa karenda,mahesabu yote unayoyajua chanzo chake ni uku afrika,,kwaiyo awo mabwana zenu wakolon baada ya kuwatalawa wakaanza kujimilikisha mambo yetu na kuwapa vibaraka wao waliosoma elimu yetu na kuwaita wagunduz....ni mchawi tuu atakae puuza mambo ya afrika kama nae muafrika,,,wapo wazungu wanakili kukubali kuwa walihujumu afrika lakn chaajabu baaz ya miafrika bado mibishii,,ukifuatilia ndyo hiyo hiyo inayokesha kuibariki israel ya leo yaan fake jews, kisa wamekalilishwa na wachungaj[emoji849][emoji849][emoji849]
FB_IMG_16220328268186423.jpg
 
Kiukweli wazungu wameenda kilomita nyingi mbali kuliko sisi. Hii dhana ya kwamba historia inaonesha mwafrika alifanya sijui Nini na Nini?? Siyo kweli kwani siku hizi tunazuiwa kufanya mambo hayo makubwa ambayo tunadai Babu zetu waliyafanya zamani!!!
 
Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:

1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page

Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.

1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa soka)
2. Michael Jackson (mfalme wa pop) (music)
3. Michael Jordan (kikapu)
4. Muhammed Ali (ngumi)
5.......

Kwenye suala la vipaji kuvunja rekodi basi Waafrika tuna vipaji vya kuzaliwa na nguvu sana.

Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye vitu hivi?
Unajidhalilisha kwa mawazo hayo
 
Kaka, kwa kiingereza huitwa, psychological torture. Namaanisha Vita tulipigana zamani sana walituteka na kutuaminisha sisi ni inferior, ungejua historia halisi ya Mwafrika nadhani ungeona umekosea sana hii post.

Waliobuni maandishi, madawa kusoma ni sisi ila kuna uzi tumefumbwa kuhusu sisi hasa ni nani kwa historia zilizofichwa gizani.
Funguka boss tufaidike
 
Unakuwaje na akili halafu ufumbwe na asiye na akili? Tena kwa miaka mingi? HAPANA.
 
Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu:

1. Isaack Newton
2. Albert Einstein
3. Stive Jobs
4. Eric Yuan
5. Sergey Brin na Larry Page

Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao.

1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa soka)
2. Michael Jackson (mfalme wa pop) (music)
3. Michael Jordan (kikapu)
4. Muhammed Ali (ngumi)
5.......

Kwenye suala la vipaji kuvunja rekodi basi Waafrika tuna vipaji vya kuzaliwa na nguvu sana.

Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye vitu hivi?
uchanganuzi wako ni mfinyu. Wapo waswahili wengi waliofanya vitu vikubwa hata huku Americas vya kiakili lakini wakafichwa. Jaribu kugoogle

List of African-American inventors and scientists utajifunza mengi mwanangu. Hapa hujataza waliowapokea wakoloni na kuwaonyesha njia kwenda kwenye vile wanavyodai kuvigundua.

Ukisema Mwafrika hana akili wanakwambia unajidharau...wanaotetea Miafrika wanajificha kwenye kichaka hiki
 
Waafrica tuna akili kuliko wazungu huo ndo ukweli.sema wazungu wanatumia Hira kibao kutumaliza ,na kutuoandikizia vitu ambavyo vinaharibu nature ya ubongo wetu,kwa kiasi kikubwa wazungu wanatuogopa waafrica kwa ,kwa ukali wa akili zetu,vipaji,na mali tulizonazo.they fear one day we shall make them to be slaves of ours.huo ndio ukweli.kila siku wanawaza namna ya kutuharibu.
 
Zamani waafrika walichukuliwa kwenda utumwani ulaya bila kupenda,leo waafrika wanapanga foleni embassy kwenda kuwa watumwa kwa hiari.
Laiti Ingekuwa ni bure kwenda ulaya si dhani kama kuna kijana angebakia afrika.
Kabisa,hata mm nisingekuepo
 
tecnolojia zote kongwe zilianzia huku kama vile sayanz ya anga na unajimu,, maana kwamba waliogundua sayar 9 ni waafrika kipind icho mzungu hata kuva pampasi
Hizi labda zama za mawe ila si kwa sasa
 
Kaka, kwa kiingereza huitwa, psychological torture. Namaanisha Vita tulipigana zamani sana walituteka na kutuaminisha sisi ni inferior, ungejua historia halisi ya Mwafrika nadhani ungeona umekosea sana hii post.

Waliobuni maandishi, madawa kusoma ni sisi ila kuna uzi tumefumbwa kuhusu sisi hasa ni nani kwa historia zilizofichwa gizani.
Faxs
 
uchanganuzi wako ni mfinyu. Wapo waswahili wengi waliofanya vitu vikubwa hata huku Americas vya kiakili lakini wakafichwa. Jaribu kugoogle

List of African-American inventors and scientists utajifunza mengi mwanangu. Hapa hujataza waliowapokea wakoloni na kuwaonyesha njia kwenda kwenye vile wanavyodai kuvigundua.

Wataje acha porojo
 
Wataje acha porojo
Unataka niwataje wakati umepewa au uvivu wa kusoma? Nimekupa chanzo kama ushahidi kama kweli unataka kujiendeleza na kufanya utafiti tunduizi na jadidi kwa faida yako na wenye mawazo kama yako ya kujidhalilisha na kuwadhalilisha waafrika tokana na kutojua.
 
Your life reflects how smart is your brain..

We live now, the past is gone.
 
Your life reflects how smart is your brain..

We live now, the past is gone.
The present becomes meaningless and logically immaterial when and if it ignores the past and lacks the insights into the future that depends on the duo.
 
Back
Top Bottom