Hoja yako haina tofauti sana kimantiki na kauli wanayoitumia watu wa gender equality , 'Mwanamke akiwezeshwa ,anaweza' in a nutshell kauli hii ni alama ya ushujaa kwa mwanamke , lakini kiundani zaidi , ni kauli inayojieleza kuwa ili mwanamke aweze kumbe , inabidi mwanaume awajibike kumuwezesha kwanza, ni kauli ambayo inamtanabaisha bila kificho kuwa mwanaume ndo shujaa wa kwanza kabla ya mwanamke.
Kwamba wazungu wamefanikiwa kupiga bomu kwenye mind na self identity ya mwafrika , kwan nini sisi hatukuwa wa kwanza kufanya hivyo kwao ili tuwatawale na kuwafanya watumwa wetu?, , ili nao wajione sio kitu kuliko sisi?
Huoni kuwa hoja yako inazidi kumfanya mzungu kuwa alikuwa smart kabla yetu?