Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Kkubwa kabisa kinachopelekea watu wapate maendeleo ni nidhamu. Hata mtu binafsi akikosa nidhamu ya maisha nyumbani kwake hawezi kupata maendeleo, Watu watabaki wanasema tu "jamaa kichwani yuko safi sana, halafu hata hela kwake siyo tatizo lakini maendeleo hamna". Hapo ujue mhusika anyeongelewa kwa jinsi hiyo ni mtu ambaye hana nidhamu ya maisha, possibly kwenye maswala ya fedha na mengineyo yanayofana na hayoInawezekana kweli
Huwa nashangaa muno watu kung'ang'ania sana maandiko ya kwenye Katiba halafu eti hayo ndiyo yaje yatuletee maendeleo. Haoana, tunatakiwa kumsikiliza mbeba maono anasema nini halafu tufuate yale anayoyasema. Aliyepewa mamlaka ya kuwa na vision ya nchi inatakiwa kwenda wapi, ndiyo huyo anayebeba maendeleo yetu watanzania, hakuna mwingine.