MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF
Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.
Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.
Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao.
Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.