Wazungu wana IQ ndogo sana

Get this into your stinking ugly pussyView attachment 2340839
TULIZA MSHONO WAKO BIBI, kumbuka umetoka KUJIFUNGUA jana tu kwa KISU🔪🔪🔪 (operesheni)...Sasa ukikasirika hovyo na kupata stress nyingi kwa kusemwa vibaya IQ ndogo ya 'MMEO' mzungu, utasababisha MSHONO wako kufunguka/ kuchanika tena, na kutupa shida sie nduguzo ya kuushikiza MSHONO wako kwa 🧷🧷🧷🧷🧷
 
Source ya hiyo technologia tusiangalie waliokuja kuendeleza tungalie watu a newton, albart estein na wengineo.
 
Waliwawekea vikwazo mrusi sas wanaumia Ni pmj na hao walioweka na vikwazo

Juz nilikuwa natizama hbr bbc nikaona meli yenye shehena kubwa San ikitoka ukraeni kuja ethiopia kuleta chakula nikatafakari sna mtu yupo ktk vita vizito ila bado meli zimepanga foleni kuchukuwa chakula na kukileta africa aibu niliona mm

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
We we we, ... Tema mate chini! Unadhubutu kulinganisha Uwezo wa kufikiri (I.Q.) wa wazungu na waafrika weusi? Acha utani bwana. Wacha hiyana weye! Wazungu I.Q. yao iko juu sana. Shuhudia vitu wanavyofanya. Ni miracles tupu. Wanatengeneza vyombo vinakwenda anga za juu, silaha nzito, vifaa tiba na madawa, vifaa vya ujenzi, na kadhalika, tena vyote vinatengenezwa kwa raw materials kutoka Africa. Sisi tupo tupo tu!
Achana na wazungu wewe. Je, hujui kama ndiyo wanaodhibiti Serikali za Nchi za Africa; hii ni pamoja na kuhakikisha marais wenu ni wale walio na ridhaa yao akiwemo Mama yenu!?
 
na kawaida ya kichwa kikubwa kisichokuwa na akili ni adhabu kwa miguu
 
Ni wajanja na akili zao ni za fasta zinachaji zetu hadi ujitambue kazi akili yako ila unatumiwa na mzungu kumfaidisha .
Ushapu ndugu ndio dili wao wapo hivyoo.
 
Acha kukariri wewe, technology yote imetoka Afrika, wakati sisi tunajenga ma-pyramid huko Giza wazungu walikua wanawinda misitutuni. Civilizations za kwanza zilianzia Afrika, Misri, Sheba na Timbuktu. Kama huna elimu uliza uelimishwe
 
Usiandike kama uko kwenye kijiwe cha kahawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…