Wazungu wana IQ ndogo sana

Wazungu wana IQ ndogo sana

Dunia ni yao hii.. mfukuzwe shauri zenu

Mnaletewa mikondomu mnatumia

Midawa ya ukimwi ni yao pia na ukimwi wao sisi tumeukubali et!!

Mnaletewa dawa za kubadirisha ngozi mnatumia

Mnafanyiwa na kubadirishwa maumbo mnalipia pesa nyingi kisha mnakuja kulalamika inawadhuru

Dawa zote zilizojaa muhimbili na hospital zote Tanzania “ wao ndio chanzo kikuu

Dawa za korona, chanjo na hiyo corona yenyewe yao na wametuletea na tumekubali

Mashine za kupima magonjwa yote kifua kikuu, ukimwi, damu, zote ni zao

Madini/mafuta mashine za kuchakata zote zimetoka kwao

Magari na ndege zote tulizokopa ni zao na hayo madeni wanayotudai pia “ nchi ni yao

Nguo/viatu za nchini karibia zote wanatengeneza wao

Mabarabara yote yenye grade nzuri wao ndio wenye wakandarasi wazuri

Nchi inashindwa kutengeneza hata kiwembe hii

Simu,laptop, zote zinatoka kwao

Mabinti wadogo wa Africa wana olewa na mababu wa kizungu.. mabinti ni wao

Kama unaona kuna kampun ya soda sijui biscut na ubuge mwengine kwenye hiyo kampuni lazima kuwe na mzungu analipwa fungu kubwa kwa kusimamia kazi ni wao pia

Kweli nimeamini tenda wema 99% na uje kufanya kosa 1% tu mema yote yatafutika kwa sababu ya kosa dogo tu.. na hata hiyo vita inayoendelea huko ni yao ila sisi huku mafuta na bidhaa zingine zishaanza kutushinda..

Sisi sio wapumbavu sana..

Hahahahaaa huyu mleta mada amefanya nimuone wa ajabu sana aiseee. Wazungu kwa vitu wanavyofanya Unaweza ukahisi labda sio binadamu wenzetu.
 
Wasalaam wana JF

Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.

Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.

Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao

Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
Halloooo, hivi CCM wanasemaje na umasikini wetu uliokithiri hapa nchini ikiwa tuna kila kitu (vitega uchumi)....bado mnaaminishwa tu kuwa Tanzania ni masikini huku viongozi wakiuza nchi kwa waarab?
 
Unaambiwa maisha ni mchezo! Hawa watu wana akili sana ndio maana wamekudanganya mwafrika na dini zao na ukakubali bila kuhoji. Angalia Archimedes alivyotoka speed tena uchi na kusema "eureka" yaani nimevumbua. Meli zimeundwa na zinaelea kwa uvumbuzi wake. IQ ya wazungu ipo juu sana!!!
Colonial mentality
 
Computer is a work of all races alisikika mrusi mmoja.
Kwenye kampuni zinazounda hivyo vitu research zinafanywa na watu wa mataifa tofauti walioajiliwa pale.
Mfano mwingine ni kwamba Manhatan project ilihusisha races tofauti waliounda team.
Teknolojia nyingi ni ushirika wa dunia, bila ushirikiano na kutumia watu wenye akili wa mataifa tofauti teknolojia za ulaya zisingefika hapo.
Mfano mwingine, space technology nguli wa hio teknolijia ni mchina ambae alifanya jazi NASA baadae akarudi jwa china na kuisaidia China kuweza kuinua hio teknolojia.
Wewe jana unaamini kika teknolojia wameikuza wazungu peke yao basi ni wewe kama wewe oka ikweli haupo hivyo, jitahidi kusoma ili ujue.
Mwanayansi mmoja anaitwa Michio kaku aliwahi sema" the weapon of USA is brain drain and scholarship"
Alisema siku Amerika ikiacha brain drain ndio utakuwa mwisho wake.
Nchi nyingi za ulaya mbinu yao ni kutoa scholarship kwa third world countries ili wavune akili zao, vile vile wanatoa ursia kwa watu potential.
Kama wana akili sana kwa nini watumie watu wa ulimwengu wa tatu?
I totally agree, Afrika tumekua na civilization na tumejenga pyramids wakati wazungu wanacheza ngoma na kuwinda misituni
 
Wazungu huwajui vizuri nadhani!

Kwa jicho la karibu unaweza kuona hivyo Ila Kwa mbali utaelewa ni Kwa nini wameli-handle tukio linaloendelea huko Ulaya mashariki Kwa namna ile
uwezo wao wa kufikiri ndiyo umefikia mwisho.
 
Dunia ni yao hii.. mfukuzwe shauri zenu

Mnaletewa mikondomu mnatumia

Midawa ya ukimwi ni yao pia na ukimwi wao sisi tumeukubali et!!

Mnaletewa dawa za kubadirisha ngozi mnatumia

Mnafanyiwa na kubadirishwa maumbo mnalipia pesa nyingi kisha mnakuja kulalamika inawadhuru

Dawa zote zilizojaa muhimbili na hospital zote Tanzania “ wao ndio chanzo kikuu

Dawa za korona, chanjo na hiyo corona yenyewe yao na wametuletea na tumekubali

Mashine za kupima magonjwa yote kifua kikuu, ukimwi, damu, zote ni zao

Madini/mafuta mashine za kuchakata zote zimetoka kwao

Magari na ndege zote tulizokopa ni zao na hayo madeni wanayotudai pia “ nchi ni yao

Nguo/viatu za nchini karibia zote wanatengeneza wao

Mabarabara yote yenye grade nzuri wao ndio wenye wakandarasi wazuri

Nchi inashindwa kutengeneza hata kiwembe hii

Simu,laptop, zote zinatoka kwao

Mabinti wadogo wa Africa wana olewa na mababu wa kizungu.. mabinti ni wao

Kama unaona kuna kampun ya soda sijui biscut na ubuge mwengine kwenye hiyo kampuni lazima kuwe na mzungu analipwa fungu kubwa kwa kusimamia kazi ni wao pia

Kweli nimeamini tenda wema 99% na uje kufanya kosa 1% tu mema yote yatafutika kwa sababu ya kosa dogo tu.. na hata hiyo vita inayoendelea huko ni yao ila sisi huku mafuta na bidhaa zingine zishaanza kutushinda..

Sisi sio wapumbavu sana..
Kwenye capitalism innovation ni survival tooi it has nothing to do with IQ. Dont get twisted
 
kweli mkuu hebu fikiria wameiwekea Urusi vikwazo ambavyo vinawaumiza wao zaidi halafu hiyo NATO wanayoihangaikia iko pale kwa maslahi ya mmarekani laiti kama wangetengeneza uhusiano mwema na mrusi uchumi wao ungekuwa juu kwelikweli
Thats what im talking about
 
Mleta mada nahisi amelewa, hawa jamaa kila kitu tunachotumia ni chao halafu analeta hoja dhaifu kuwa eti ni vilaza.
Mkuu, wewe umeleweshwa na wakoloni wakakudanganya wao ndiyo wenye akili. Kimsingi hao watu ni weupe kama rangi zao
 
I totally agree, Afrika tumekua na civilization na tumejenga pyramids wakati wazungu wanacheza ngoma na kuwinda misituni
Achana na hizo hadithi za zamani, ktk modern technology kila rangi wamechangia akili.Hakuna akili ya mtu mmoja.
 
Colonial mentality
Huyo mjinga sana meli zilianza kuundwa zamani hata kabla ya ujoo wa wa wazungu.Aende ujiji kule ajaone majagazi ya asili taliokuwa yakiu dwa kwa miti mikubwa ya asili.
Wamanyema walifika kigoma kutoka kongo zamani sana kabla ya ujio wa wazungu na walitumia vyombo vya majini. Kina achimedes wamefadanya tu ktk maandihi ila wazee wetu walifanya kwa vitendo kabla yao.
 
Wasalaam wana JF

Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.

Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.

Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao

Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
Kama anayekulisha ana IQ ndogo, wewe si utakuwa zezeta? Kifaa kilichokufanya upost hii thread kimetengenezwa kijijini kwenu?
 
Huyo mjinga sana meli zilianza kuundwa zamani hata kabla ya ujoo wa wa wazungu.Aende ujiji kule ajaone majagazi ya asili taliokuwa yakiu dwa kwa miti mikubwa ya asili.
Wamanyema walifika kigoma kutoka kongo zamani sana kabla ya ujio wa wazungu na walitumia vyombo vya majini. Kina achimedes wamefadanya tu ktk maandihi ila wazee wetu walifanya kwa vitendo kabla yao.
Unasema meli zipi hizo? Kama tulikuwa tunatengeneza sasa tumekwama wapi?
 
Wasalaam wana JF

Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.

Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.

Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao

Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
Tena ni wajinga na wapumbafu wakiongozwa na mmarekani.
 
Back
Top Bottom