Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Habari zenu wakuu.

Moja kwa moja naomba niende moja moja kwenye mada.

Naomba kuuliza hivi wazungu nao hurogana katika small scale yani man to man? Diasporas naomba mtusaidie hili.

Habari zao za Ushirikiana tunazozile kubwa kubwa kama Freemason, Blue Order nk.

Maana kinachoonekana nikuwa wazungu wanatu-feed habari njema tu kuhusu wao:

Mara.....

- Wamekuja na technologia mpya
- Mara ooh watugawia misaada mbali mbali
- And blah blah blah
 
Kule wengi hawaamini uchawi hivyo hata kupata story za kurogana inakuwa ngumu kwa sababu si kitu kinachoaminika sana kwenye jamii hivyo hata jambo likiwa la kishirikina wao watalitazama kwa mtazamo tofauti na ushirikina.
 
Biashara zao zinaendaje mkuu. Maana huku bila wataalam mambo hayaendi.
 
Hivi vijiuchawi vyenu wazungu walikwisha vipitia miaka ya 1250 walishajua kuhusu miti na nguvu zake sympathea mage na vyote miaka ya 1500 wakaanza kuhifadhi taarifa muhimu juu ya uchawi mwaka 1700 wakaanza kuupiga marufuku imani hizi infact mama wa yote haya mauchawi ni Greece na Latin America nchi kama Egypt zili adopt tu hata Waarabu pia wali adopt kutoka Latinos infact pia stage ambayo wanayo wazungu ni tofauti sana na ya kwetu Mf wao anaweza chora tu tatoo fulani ikawa na majina fulani yenye siri fulani ikawa hawezi kulogeka kamwe hata ufanye nini na katunguri kako ka Kibantu.
 
Biashara zao zinaendaje mkuu. Maana huku bila wataalam mambo hayaendi.
Mkuu, sema wewe biashara zako bill wataalamu hawaendi. Huoni research za marketing za sales. Nanma ya kuvita wateja, wafanyaje wateja warudi. Ubora wa huduma za wateja na ubora wa bidhaa.

Innovation wanakuja na vitu vipya katika KILA industry kwakua wako juuu kiteknologia.

Wewe unaeamini lazima uweke hirizi au uchinje au uzike au ufukie na matako vitu ndo biashara ifanikiwe, huo ni mtazamo wako na baadhi ya wanaofanana na wewe.
 
Wazungu wana wanga sana, nilishuhudia hii nilipopanga kwenye nyumba ya kibibi kimoja cha kizungu wakati nasoma majuu.

Kuna supermarket moja kubwa jamaa kama chizi hivi alikuwa anatangatanga nje ya hiyo supermarket na nafikiri wanatumia sana mapaka paka.
 
Biashara zao zinaendaje mkuu. Maana huku bila wataalam mambo hayaendi.
Biashara zao ni ubora wa bidhaa na huduma. Tz biashara haziendi kwa kuwa umasikini umezidi, watu hawana pesa za kutumia. Nchi zilizoendelea kuna ajira na kupelekea watu wengi kuwa na uwezo wa kufanya manunuzi, hivyo biashara zinashamiri.
 
Wazungu wana wanga sana, nilishuhudia hii nilipopanga kwenye nyumba ya kibibi kimoja cha kizungu wakati nasoma majuu. Kuna supermarket moja kubwa jamaa kama chizi hivi alikuwa anatangatanga nje ya hiyo supermarket na nafikiri wanatumia sana mapaka paka.
Huyo bibi still bado anatumia ndumba za kale nijuavyo wazungu huwa na tabia ya kumwita lucifer live na kusolve mambo yao endapo anaona anapata challenge zisizo na sababu yoyote.
 
Kwa maana ipi unavyosema huku bila wataalamu mambo hayaendi? Kwa maana ya kulinda biashara kwamba mtu asiwangie biashara yako au kwamba ili biashara iwe nzuri lazima uwende kwa wataalamu?
Ndio mkuu, yani cha kwanza ni Guard, biashara isiingilike kwa dumba. Yani kama mtu anataka kukuaribia, ashindwe. Pili mambo na mipango yako inabidi uvipe assurance ya kuprosper.
 
Back
Top Bottom